Mbengu za nafaka

Mbengu za nafaka

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Posts
1,434
Reaction score
510
Habari wanajukwaa ,mi ninatafuta mbengu aina mbalimbali za mazao kama Mbengu za
maboga
bamia
choroko
kunde zile nene
pilipili mbuzi
nyanya za kienyeji
mchicha aina ya supalishe nyeupe na nyeusi
nk
NB ununuzi wa mbengu hizi utaendana na khali ys soko hapa dsm
kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi
0712635902
0759145464
Karbuni
 
Back
Top Bottom