Mapenzi ya kweli yenye mipaka mbele ya watoto yanawapa watoto uhakika wa nyumba stable na kuwajenga vema kisaikolojia.Chuki,ugomvi na matengano yanavyowaharibu watoto kisaikolojia.
Hivyo endelea tu kwa mipaka uliyoshauriwa na wengi. Na kama mwanaume anafikiri huko mbeleni atahitaji pesa za watoto wake,huu ndio wakati wakuwapa confidence watoto kuwa watakapokuwa wanakuletea pesa utazitumia kwa mpenzi wako ambaye ni mama yao.