Kwa kweli sisi waafrika hususani Tz tunatakiwa tuombe haya mambo yaishie kwa maneno hivihivi, tusije tukafurahia kuona wanavyopigana mwisho wa siku ndugu na jamaa zetu wakawa wanapata shida kama na wao wako kwenye nchi zinazopigana. Yaani tutapata athari nyingi tu kwa hivi vita maana haitakuwa syria na Marekani bali itakuwa ni vita vya nchi zenye nguvu kubwa dunianiHilo la ukimwi ni Miongoni mwa mambo mengi wanayotufadhili ndio maana nadhani si vizuri kushabikia hii mambo ya vita. Vile vile hata direct effeft(s) za hii vita zinaweza kutuumiza.
Kweli kabisa. Mfano mzuri ni hizi nchi jirani zetu wanapigana wao lakini wakimbizi wanajaa huku kwetu, matendo ya ujambazi na uvunjifu wa amani yanaongezeka maeneo ya mipakani nkKwa kweli sisi waafrika hususani Tz tunatakiwa tuombe haya mambo yaishie kwa maneno hivihivi, tusije tukafurahia kuona wanavyopigana mwisho wa siku ndugu na jamaa zetu wakawa wanapata shida kama na wao wako kwenye nchi zinazopigana. Yaani tutapata athari nyingi tu kwa hivi vita maana haitakuwa syria na Marekani bali itakuwa ni vita vya nchi zenye nguvu kubwa duniani
Sawa sina effect, ila lazima nisimamie sehemu ya ushindi, siwezi kuumia kila siku kwa uonevu unaofanywa na Urusi dhidi ya Marekani, ni bora nihamie kwa Mbilikimo mwenye msimamo usio yumbishwaHuna effect yoyote.
Hakuna anayefurahia mauaji hata, ila mimi nachukia na kuumia juu ya Uonevu unaofanywa na Mbilikimo dhidi ya Mawigi.Kabsa kiongozi mm nahisi kuna baadhi yetu wanahisi kuwa Syria hawaishi binadamu kama sisi na wenye damu na malengo kama yetu. Inasikitisha kuona watoto wasiokuwa na hatia wakiangamia..
Team Mawigi kwa sasa ni hoi bini taabani, sitaki hata kusikiaHahah!! eti team trump
Ni kweli kaka, ila ni very strong kuliko MawigiPutin kifupi tu
Hakuna kitu kama hicho wewe, upotoshaji na uwoga tu. Watakufa wenyewe tu, acha team Mawigi wapambane na Taariban tu, kwa Mbilikimo ni maji marefusasa hivi kila mtu ana nyuklia ikitokea kila mtu akaachia lakwake unadhani dunia itakuwepo?
Utamwitaje Putin mbilikimo?
Vita anayoiweza kwasasa ni vita ya twitter tuTeam Mawigi kwa sasa ni hoi bini taabani, sitaki hata kusikia
Nipo brother,Majukumu tu,lakini nipo nafuatilia umichango ya wadau kwenye ule uzi wako wa masuala ya Elimu.Umenivutia sana.SirChief you good bro ??
Sijakuonapo kwa muda aisee!
Kwa hiyo Erdogan ndio SI unit ya urefu wa marais duniani?
Hilo swali ndio jibuHivi hii vita tunayoishabikia haiwezi kutuathiri na sisi kwenye hizi nchi zetu maskini? Nauliza tu
Kweli kaka, mwenzake Mbilikimo hata hiyo tweeter haijui, kwanza Mbilikimo (putin) anakwambia hajawahi kumiliki hata Smartphone yoyote, sasa hiyo tweeter aijulie wapi, Hongereni Team Mbilikimo(putin) kwa ushindi dhidi ya MAWIGI. But naomba mnipokee nimehama Rasmi from team Mawigi to Team Mbilikimo.Vita anayoiweza kwasasa ni vita ya twitter tu
Naona umehama jukwaa baada ya kuchoshwa na Unyanyasaji wa kijeshi unaofanywa na Mbilikimo (putin) dhidi ya Mawigi wenu.Nipo brother,Majukumu tu,lakini nipo nafuatilia umichango ya wadau kwenye ule uzi wako wa masuala ya Elimu.Umenivutia sana.
Mvaa Mawigi kwa sasa choo cha Whitehouse kinakaribia kujaa, any time ataanza kumgeukia Mvimba macho(China) kuwa anamsaidia Mbilikimo.Putin yuko smart zaidi ya missile anazozisema mvaa mawigi, ndo maana tunaona kimya bora akaendelee ma ziara zake amerika kusini.
Hahah!! Karibu sana kundini huku hatuimbi taarabu ni action tuKweli kaka, mwenzake Mbilikimo hata hiyo tweeter haijui, kwanza Mbilikimo (putin) anakwambia hajawahi kumiliki hata Smartphone yoyote, sasa hiyo tweeter aijulie wapi, Hongereni Team Mbilikimo(putin) kwa ushindi dhidi ya MAWIGI. But naomba mnipokee nimehama Rasmi from team Mawigi to Team Mbilikimo.
Naona umekomaa na vitu vidogovidogo kwenye hii maada, Team mawigi hameni tu kama mimi.Kwa hiyo Erdogan ndio SI unit ya urefu wa marais duniani?