Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
kwani mbuzi ana miguu ya mbele na nyuma?tupo kwny mapumziko ya lunch tunabishana, eti mguu wa mbele na wa nyuma wa mbuzi, upi una nyama tamu?
Tupo kwny mapumziko ya lunch tunabishana, eti mguu wa mbele na wa nyuma wa mbuzi, upi una nyama tamu?
mguu wa nyuma wa mbuzi ni mifupi lkn ndo tamu kwani ndio iko kwenye eneo la jembe na kiuno na katika nyama amu kuliko zote ni kiuno ikifuatiwa na salala ila nyama nyini ni jembe. miguu ya mbele ni mirefu ila haina nyama tamu manake imekaa na misuli isiyokua na mafuta kama ya nyuma. na hata location yake ni mbaya yaani karibu na shingo na mbavu.
Si mnunuwe, yote mle na jibu mtalipata hapo hapo? mijitu mingine hovyo kabisa.
Acheni kuleta mada za kitoto hapa ndani. Mnatupotezea muda. Kama huna cha kuandika, tulia, nyamaza kimya kabisa. Soma michango ya wenzako iliyoenda shule. Nasema hii tabia ikome mara moja. Toeni mada zenye tija na kuelemisha taifa letu. Ni hayo tu.
nilielewa vibaya mnoooooooooo kumbe utamu wa nyama ya mbuzi