Mbegu za kiume hukaa muda gani kabla ya ku-expire?!

Jannet

Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
27
Reaction score
5
Habari.

Kwa anaejua. Je shahawa zinakaa muda gani ukeni ndo zina expire?
 
mpaka siku tatu.... hapo hazitakuwa katika ubora wake maana baadhi ya chromosomes zitakuwa zimeishakufa na nyingine zitakuwa bado.
 
asante sana. islATES
 
Last edited by a moderator:
Jannet kuliko kuanza kujiuliza hivyo na kujiaminisha...wahi pharmacy kanunune Postinor 2 (P2)
 
Last edited by a moderator:
Janet,
Usikubali kurudia tena ngono zembe. Hii ni kwa faida yako. Hakuna haja ya kuzisikia zikitua pale mwisho wa k. No no nooo. Kuna raha yake ukisikia zikigonga pale mwisho lakini ujue kuna karaha pia. Mimba zisio na mpangilio, magonjwa na wasiwasi mpaka siku unaziona tena siku zako. Kwa nini kujipa taabu kumbe ungeweza chomoa ukamwaga porini?
 
Ili uingie jf lazima ununue bundle! na ukiwa na bundle u can google anything u wish! so why dnt u google it?
 
Lisha kojolewa mala y a huyo,toa ujingawako humu kwanini usinge muuliza aliye kukojo
 
Shahawa za kike ndio nimeziskia leo kwa Dr Appoh
mkuu naona unanisakama kwelikqwli shahawa za kike ni mbegu za mtoto wa kike na za kiume ni zile za mtoto wa kiume
 
Janet,
Usikubali kurudia tena ngono zembe. Hii ni kwa faida yako. Hakuna haja ya kuzisikia zikitua pale mwisho wa k. No no nooo. Kuna raha yake ukisikia zikigonga pale mwisho lakini ujue kuna karaha pia. Mimba zisio na mpangilio, magonjwa na wasiwasi mpaka siku unaziona tena siku zako. Kwa nini kujipa taabu kumbe ungeweza chomoa ukamwaga porini?
kwa utamu wa dushe unadhani atakuelewa?
 
mkuu naona unanisakama kwelikqwli shahawa za kike ni mbegu za mtoto wa kike na za kiume ni zile za mtoto wa kiume

Mwanamke hana shahawa mkuu,na hajawahi kuwa nazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom