babayah67 ninawasiwasi kama kweli umeshabobea vizuri kwenye hii fani mpaka unatoa a strong conclusion kama hii. Kwataarifa yako Marekani wanaathirika sana na hili janga la GMO. Pia licha ya kuleta madhara kwenye kuharibu genetic resources za asili, it has been proved scientifically kwamba kuna modifications nyingine zinaleta athari kubwa kwenye miili ya binadamu na viumbe wengine. Unaweza tafuta scientific findings kwenye hili, kama utashindwa kuzipata naweza kukusaidia kukutafutia baadhi. Nami pia nipo eneo hili na ni kweli nimedhibitisha haya niliyoandika hapa.
na EU wana fear of the unknown??
EU wanatumia Sana tu GM foods Siku nyingi. Kama ushafika moja ya nchi za EU utakuwa ushashuhudia watermelon hazina seeds. ni GM food hiyo. Usisahau nyanya na Canola oils.
Iko hivi makampuni ya GMO yanaanda hizo mbegu kisha wanaandaa na sumu za kudhibiti mfano magugu na kisha binadamu akiathirika aidha kwa sumu hiyo au mazao yaliyozalishwa, makampuni hayo pia ndiyo yenye shares kubwa kwenye pharmaceutical industry. Hivyo unaweza kuona ni jinsi gani inavyohitaji akili ya ubinafsi kuikubali GMO.
babayah67 ninawasiwasi kama kweli umeshabobea vizuri kwenye hii fani mpaka unatoa a strong conclusion kama hii. Kwataarifa yako Marekani wanaathirika sana na hili janga la GMO. Pia licha ya kuleta madhara kwenye kuharibu genetic resources za asili, it has been proved scientifically kwamba kuna modifications nyingine zinaleta athari kubwa kwenye miili ya binadamu na viumbe wengine. Unaweza tafuta scientific findings kwenye hili, kama utashindwa kuzipata naweza kukusaidia kukutafutia baadhi. Nami pia nipo eneo hili na ni kweli nimedhibitisha haya niliyoandika hapa.
EU wanatumia Sana tu GM foods Siku nyingi. Kama ushafika moja ya nchi za EU utakuwa ushashuhudia watermelon hazina seeds. ni GM food hiyo. Usisahau nyanya na Canola oils.
MaCCM kwa akili zao hizi za sembe..wataona ni dili tuu....monsato ndio shetwani mkuwa...tupo Arusha,kilimanjaro ,manyara etc..shamba yangu ya mahindi Moshi nimekuta mahindi yamechukua mbegu za hao jamaa..ukilima mara moja yanatoa mbegu..nyepesi sana na isiyotakiwa ota tena.
Jamaa eti wana patent hadi ktk genes za binadamu.
Watu wote wanaopinga uzalishaji wa GMO hufanya hivyo, siyo kwa basis zozote za kisayansi, bali kwa mwendelezo ule ule wa siasa za wabongo --maneno mengi bila ukweli.
Nina ujuzi wa msingi kuhusu biotech (nimesomea na ninafanya utafiti) hivyo nahisi naweza kuchangia kwa namna ninavyofahamu:
Kwanza, ni kushindwa kusoma historia ya mabadiliko ya technolojia katika uzalishaji wa chakula kutakakoifanya Afrika --ikiwemo Tanzania--tuendelee kubaki nyuma katika kila nafasi inayopatikana ya kusukuma kilimo chetu mbele.
Wakati mapinduzi ya kijani (green revolution) yaliposhika moto, wazungu wakiwa busy kulima kijanja (umwagiliaji wa kisasa, kutumia mbegu bora --improved varieties, mechanized agriculture, etc), sisi tulikuwa busy kufanya siasa. Green revolution ikatupita kando, kilimo kikapuuzwa kisiasa na kiutamaduni. Njaa ilipopiga, unga wa Yanga ulipoletwa kama msaada kutoka USA, hakuna aliyeuliza unga umepatikanaje. Ilikuwa ni kunusuru maisha, maulizo baadaye. Zama hizi ndo tunastuka na siasa za vilimo kwanza kwa kutumia mbinu za kizamani kweli zilizozalisha unga wa Yanga USA.
Achaneni na siasa, wekezeni katika biotech kama tunataka kutoka katika kilimo. Mabadilko ya rutuba ya ardhi, spidi ya ongezeko la watu duniani, mahitaji ya ubora wa uzalishaji katika kilimo cha biashara, yote haya yatategemea ni namna gani sayansi ya GMO inaendelezwa.
Sijaona ni namna gani madhara ya GMO yanazidi faida zake. Tukiacha kutumia GMO kwa kisingizio cha ekolojia, tayari pestcides zimeshaharibu mazaingira ya ardhi zetu beyond recovery. Kwa nini sasa usilime pest resistance variety badala ya kutumia pestcides?
Kama ni kusingizia madhara kimwili, toa ushahidi. Watu kila siku wanakula GMOs (apples kutoka south africa, mchele kutoka Thailand, vyote hivyo ni imported), lakini linapokuja swala la kuwahimiza wakulima wetu walime wenyewe hizo GMO ili waweze kushindana, debates za siasa zinaanza bungeni. Raia gani sisi?
Ndg.kuna wanasayansi wachache wanaolipwa kwenye miradi inayofadhiliwa na hayo makampuni ndo wanaopigia upatu GMO kwa Tanzania mf. Dr. Kulaya amestaafu ARI Mikocheni na Dr. Roshani Abdallah atakuwa amestaafu TPRI Arusha. Kifupi Mh. RAIS amekataa kurithia mpango wa kubadilisha kinachoitwa strictly liability ambacho ni kipengele kilichokuwa kinataka kuwanusuru pro GMO kama madhara yatajitokeza kutokana na GMO. Kifupi GMO kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla haifai
Watu wote wanaopinga uzalishaji wa GMO hufanya hivyo, siyo kwa basis zozote za kisayansi, bali kwa mwendelezo ule ule wa siasa za wabongo --maneno mengi bila ukweli.
Nina ujuzi wa msingi kuhusu biotech (nimesomea na ninafanya utafiti) hivyo nahisi naweza kuchangia kwa namna ninavyofahamu:
Kwanza, ni kushindwa kusoma historia ya mabadiliko ya technolojia katika uzalishaji wa chakula kutakakoifanya Afrika --ikiwemo Tanzania--tuendelee kubaki nyuma katika kila nafasi inayopatikana ya kusukuma kilimo chetu mbele.
Wakati mapinduzi ya kijani (green revolution) yaliposhika moto, wazungu wakiwa busy kulima kijanja (umwagiliaji wa kisasa, kutumia mbegu bora --improved varieties, mechanized agriculture, etc), sisi tulikuwa busy kufanya siasa. Green revolution ikatupita kando, kilimo kikapuuzwa kisiasa na kiutamaduni. Njaa ilipopiga, unga wa Yanga ulipoletwa kama msaada kutoka USA, hakuna aliyeuliza unga umepatikanaje. Ilikuwa ni kunusuru maisha, maulizo baadaye. Zama hizi ndo tunastuka na siasa za vilimo kwanza kwa kutumia mbinu za kizamani kweli zilizozalisha unga wa Yanga USA.
Achaneni na siasa, wekezeni katika biotech kama tunataka kutoka katika kilimo. Mabadilko ya rutuba ya ardhi, spidi ya ongezeko la watu duniani, mahitaji ya ubora wa uzalishaji katika kilimo cha biashara, yote haya yatategemea ni namna gani sayansi ya GMO inaendelezwa.
Sijaona ni namna gani madhara ya GMO yanazidi faida zake. Tukiacha kutumia GMO kwa kisingizio cha ekolojia, tayari pestcides zimeshaharibu mazaingira ya ardhi zetu beyond recovery. Kwa nini sasa usilime pest resistance variety badala ya kutumia pestcides?
Kama ni kusingizia madhara kimwili, toa ushahidi. Watu kila siku wanakula GMOs (apples kutoka south africa, mchele kutoka Thailand, vyote hivyo ni imported), lakini linapokuja swala la kuwahimiza wakulima wetu walime wenyewe hizo GMO ili waweze kushindana, debates za siasa zinaanza bungeni. Raia gani sisi?
Hivi umewahi kukaa chini na kjiuliza ukubwa wa nchi yetu na kiasi hadi sasa kinalimwa? Unajua ni kwa nini tunazalisha kwa kiasi kidogo?
Hivi Kama serikali ingeweke miundombinu mizuri watu wangetawanyika na wangelima mara kumi ya sasa! Hapa nazungumzia miundombinu ya umwagiliaji, barabara, mabwanashamba nk.
Kwanini sasa unatakakutuaminisha kuwa kuna less productivity hapa nchini?
Kuna madhara mengi sana naomba upitie kwenye comments zangu hapo juu na leo hii nenda kwenye yahoo news uone jinsi wakulima wa marekani wanavyolia juu ya weedresistance!
Kwa nini unatumia kipengele kimojawapo cha madhara ya ekolojia (weed competitiveness) kama kigezo cha kuminya matumizi ya GMO? Wanasayansi tayari washajua siku nyingi sana kwamba GMO tends to outcompete natural varieties hivyo matumizi yake ni lazima yazingatie uangalifu. Na kimsingi kuna regulatory body (USFDA) US Food and Drug Admnistration ambayo inahusika kuruhusu au kutoruhusu matumizi ya GMO. Ikisharuhusiwa ujue haina madhara.
Ukiona mtu anaanza kusema mbona tuna ardhi kubwa, kwani serikali imeshindwa hivi na vile, miundo mbinu....ujue huyo ni mwanasiasa.
Tuna ardhi kubwa ndiyo lakini kilimo chetu ndo hivyo. Watu hatusubiri kufa kwa njaa na ndo maana wanasayansi wetu hawapotezi muda na maneno maneno yasiyo na vitendo. It is a vital opportunity and we cannot afforod to lose it.

Argument yako ni kama vile sahihi lakini unaposema "lakini ukweli bado utabaki pale pale kwamba though GMO sometimes is necessary but there's no sufficient condition for country like Tanzania kuamini katika GMO" hiyo ni sentensi unayoweza kuikuta kwenye brochures za wapinzani wa GMO kibiashara.
Ukweli ni kwamba GMO advocates hawasemi kwamba mbegu za asili zisitumike badala yake zitumike GMOs. Wao wanasema iwapo traditional agriculture isipojitosheleza GMO inaweza kuwa ukombozi.
Na kwa mazingira ya Afrika ni muhimu.