Mbegu ya mpunga inahitajika

Mbegu ya mpunga inahitajika

Herbert Nkuluzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
2,873
Reaction score
3,080
Ndugu zangu nawasalimu, Iweni na heri
Ninahitaji kupata mbegu ya mpunga aina ya SARRO na kama ni vema kunipatia elimu zaidi ya kijiografia unaweza kuniambia maana nipo mkoani Mara na nahitaji kulima hukuhuku mpunga ila sipendi kutumia mbegu ya kienyeji iliyozoeleka hapa hivyo nisaidie niipate vipi mbegu hii
 
Kwa mahali ulipo unaweza kwenda Mati Ukiliguru, kipo mwanza, au ukasafiri hadi kahama ukanunua kwa wakulima, lakini pia unaweza kwenda hadi Igunga, hapo kuna Scheme Kubwa ya Umwagiliaji inaitwa Mwamapuli (Mwanzugi) Irrigation Scheme. Hapo wanalima 98% SARI 5,hapo utapata, lakini pia wasiliana na Wakala wa Mbegu Tanzania ( Agriculture Seed Agency) ASA, wana mawakala Mwanza,0713241696 hiyo namba ya ASA.
 
SARO 5
 
Asante sana, Mungu akubariki sana kwa majibu yako maana umenifungua mno
 
Back
Top Bottom