Fikra mlazo
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 237
- 37
Waha watatu walienda kwa ndugu yao, walipofika kwa ndugu yao mjini wakapewa soda, walipoondoka mmoja akatia kizibo mfukoni,baadae akamnong'oneza mwenzake,mwenzio nimechukua mbegu vp ww?
Kumbe waha ni kama wahehe,kuna mmoja alileta hii ila ye alisema ni wahehe