Watoto wanaozaliwa na kufa siku hiyo hiyo au baada ya wiki/mwezi/miaka kadhaa unawazungumziaje?Kufa kwa umri mbichi ni dhambi!,,hujatimiza marengo aliyokuitia.......Mungu hakusema ivo ukimjua utakufa mapema bali alisema utakufa umejaa umri! ikibidi utwaliwe km Musa!..mie siyo mdogo ni mutu muzima sasa!
Uhusiano wangu na Mungu gani? tuanzie hapo kwanza ?? hivi unajua mungu ni wengi??...... ni kuwa kwanza ujue Mie binafsi yangu ni ''mungu tosha, nina siri zangu. narudia kuonyesha msisitizo........
km hujui jua sasa kuwa unaongea na sauti ya mungu live unapaswa kuitii!
Marengo [emoji777] Malengo [emoji736]Kufa kwa umri mbichi ni dhambi!,,hujatimiza marengo aliyokuitia.......Mungu hakusema ivo ukimjua utakufa mapema bali alisema utakufa umejaa umri! ikibidi utwaliwe km Musa!..mie siyo mdogo ni mutu muzima sasa!
Uhusiano wangu na Mungu gani? tuanzie hapo kwanza ?? hivi unajua mungu ni wengi??...... ni kuwa kwanza ujue Mie binafsi yangu ni ''mungu tosha, nina siri zangu. narudia kuonyesha msisitizo........
km hujui jua sasa kuwa unaongea na sauti ya mungu live unapaswa kuitii!
Ni kweli kama taifa na hata mataifa mengi ya Afrika tulihuzunika na kusikitika mno tulipompoteza Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya 5.
Bado tunapomkumbuka tunatamani angekuwepo leo , lakini kweli MUNGU ni mkubwa na mwema sana, hiki kitu amekiweka kwenye kanuni ya uumbaji wake, mbegu ili iote huanguka na kufa kwanza na kisha huzaa mbegu nyingi kama yenyewe lakini isipo kufa basi itabaki moja kama ilivyo.
Jambo hili ndilo faraja pekee tunayopata baada ya kumpoteza JPM , leo tunapoona bunge limecharuka, vijana wasomi tuliowapa dhamana ya kutuwakilisha, wamethubutu na kutenda kwa kutumia vizuri elimu tulizowapa kuwahoji na kuwashikisha adabu mafisadi katika taifa hili wanaotugeuza watanzania kama watumwa wao, kwa kula jasho letu bila huruma huku wananchi masikini wakiteseka na hata kufa kwa dhiki mbalimbali.
Hakika mbegu aliyoipanda hayati JPM leo imemea , tuimwagilie na kuitunza mazao hayo yatufae kama taifa la Tanzania.
#Kazi iendelee !
Doh!Kufa kwa umri mbichi ni dhambi!,,hujatimiza marengo aliyokuitia.......Mungu hakusema ivo ukimjua utakufa mapema bali alisema utakufa umejaa umri! ikibidi utwaliwe km Musa!..mie siyo mdogo ni mutu muzima sasa!
Uhusiano wangu na Mungu gani? tuanzie hapo kwanza ?? hivi unajua mungu ni wengi??...... ni kuwa kwanza ujue Mie binafsi yangu ni ''mungu tosha, nina siri zangu. narudia kuonyesha msisitizo........
km hujui jua sasa kuwa unaongea na sauti ya mungu live unapaswa kuitii!
Umekariri maisha! matokeo ni dhahiri kabisa!! jiwe ni sawa na Mimba iliyotoka! hawana tofauti kwa sababu woote wamekufa kifo cha Premature death! wametofautiana siku tu!Watoto wanaozaliwa na kufa siku hiyo hiyo au baada ya wiki/mwezi/miaka kadhaa unawazungumziaje?
Wamefanya dhambi gani hadi wafe ktk umri huo kabla ya malengo yao kutimia?
Akili, akili akili nimekuita mara 3 mfululizo uende kwenye ubongo wa huyu kiumbe aliyekosa hekima.
Tatizo shule za ST. kayumba Mkuu! iko wazi kabisa, hamjifichi mnashida .....kunako mitaala yenu kuna syrabus ya ''Common Mistake"" najua huijui!.... hata maana yake!Marengo [emoji777] Malengo [emoji736]
Ivo [emoji777] Hivyo [emoji736]
mungu asiyejua kuandika maneno kwa usahihi [emoji28]
Kuna vijana wanaokufa Mapema km jiwe! kuna wanao fika uzeeni! na hata hao wazee unao waona walikuwa vijana kabla ya uzee kuwafika!.......... Mungu alikuwa hatanii alipo sema ''Waheshimu Baba yako na Mama yako......Vijana wanakuwa wanaishia wapi? Hawafiki uzeeni?
Mie sifokiiii! Bali Nakuelimisha pia ninaelimisha jamiii ya watu wenye Mitazamo ya upofu km weye! acha kushabikia usijcho kijua km mambo ya jiwe ili uende mbinguni siku wenzako tukinyakuliwa!Kwa sasa endelea kufoka kijinga!
Nilichokigundua ndani yako hata sikwambii, ila unachopaswa kujifunza, ni kutia bidii sana kusoma ili ujielimishe na juhudi nyingi nyingine ni wewe umjue Mungu na sifa zake!Kuna vijana wanaokufa Mapema km jiwe! kuna wanao fika uzeeni! na hata hao wazee unao waona walikuwa vijana kabla ya uzee kuwafika!.......... Mungu alikuwa hatanii alipo sema ''Waheshimu Baba yako na Mama yako......
Mama yake Kabendera!! Jiwe alishindwa kumheshimu! japo Mama alimuomba na kuomba! lkn jiwe akajiona Mwamba sasa ebu nambie huko kuzimu jiwe wanatazamanaje na Mama yake kabendera yuleee mwandishi???
Na kabendera huyo hapo anakula Bata.........
Mie sifokiiii! Bali Nakuelimisha pia ninaelimisha jamiii ya watu wenye Mitazamo ya upofu km weye! acha kushabikia usijcho kijua km mambo ya jiwe ili uende mbinguni siku wenzako tukinyakuliwa!
kwa sababu ninaamini kuwa nikifoka mie hata hapo ulipo hukai! na ni wazi Mungu amesema kuwa usiwe mfuasi wa shetani ili uende Mbinguni ! na mie siyo mchoyo!!! eti niende peke yangu la hasha!
ninataka weye mwana chato wa jiwe uache ushetani wa hilo dude, ili hatimaye unyakuliwe? wana JF hebu mnisaidie kumuelimisha huyu mwana chato huenda atawasikia!
yaani kujengewa kakiwanja ka ndege tu, amabako hata ndege hazitui baaasi! unamuona kila mutu ni mubaya????hivi kwa nini nyie chato mnachukia watu wema??
Mbona liko wazi hilo Mkuu!! yaani mie ngoja nitoboe siri yako unayo nificha....Ni wazi unaona nina akili mingi zilizo pitiliza uwezo wa kawaida, yaani nafaa kuongoza jumuiya za kimataifa tuuu! ndivo nilivo kwa wengi!Nilichokigundua ndani yako hata sikwambii,
Hapa tu nilisha soma mpaka nikaona kibao ''No class a head!''! halafu binafsi najua mengi!! na nzuri zaidi najua kuwa najua mkuu! kabisaa wala si dhambi/utani!unachopaswa kujifunza, ni kutia bidii sana kusoma ili ujielimishe na juhudi nyingi nyingin
Uko sahihi! huyo mungu wako ambaye huna ushirika nae! yamkini ndo yuleee wa jiwe! lkn Mungu wangu weee!! kwanza ni Baba wa Baba zangu. Namuabudu, ananisikia vizuri sana!Mungu hana ushirika na chochote ktk hukumu zake!
Mie ni nani?? nimekwambia hapo nyuma kuwa mie ni ''mungu''! .......Sheria za .Mungu(mimi) ziko wazi kuwa ''usiibe, usiue, usizini nk, km mtu yuko kinyume nayo! hastahili kwenda paradiso! mbona mambo rahisi tu!!! Mkuu??Wewe ni Nani hata ujue kwamba huyu anastahili hili na ama hastahili hiki Kwa Mungu!
hako ka-mungu kako na jiwe siyo kwamba hastahiri zihaka tu! anatakiwa naye afe! km mfuasi wake jiwe alivokufa! tena mwambie kabisa usimuogope, kuwa mimi nimesema anastahili kifo! kwa kuwatesa watu!Acha dhihaka na umuishi Mungu!
Hujagundua kitu umbea tuu!Nilichokigundua ndani yako hata sikwambii,