Mbege nzuri inatengenezwa vipi

Lizzy,
Tupo Chit-Chat apa ndugu yako uwoga wa bure tu.

Unadhani the best place kupata intelligence information ni wapi kama sio kwenye chit chat za watu? Kwa nini kwenye saloons za kunyoa nywele na madeva wa taxi are considered to be the best sources for getting intelligence information na sio kwenye maofisi?
 

EMT,
Kuwa na amani tu mkuu.
 
Is it by coincidence that wachaga huwa wanajadiliwa sana hapa JF?
Nimewahi jiuliza hii. . labda kuna malengo nyuma yake.

Ngoja tusubirie kupata mwaliko wa kwenda kuzindua bar mpya ya mbege inayomilikiwa na Ritz, tusipopata basi tutajua alikua na lake jambo. Au anataka kuuza recipe.. . . lolz

Mengine yote tuko pamoja!!
 
Mnajipa wasiwasi wa bure, mpaka nimeshaangaa sasa mie nitafute wachaga wa nini?

Ndio hapo basi. Maana hata huko nyuma ulishawahi kuanzisha thread nyingine specifically for wachaga.

1. Hivi kwa nini watu wa nyanda za juu kusini/ kaskazini wanapenda sana kula Nguruwe: https://www.jamiiforums.com/habari-...ni-kaskazini-wanapenda-sana-kula-nguruwe.html.

2. Kwa nini wachaga wengi meno yao ni ya rangi gold? https://www.jamiiforums.com/jf-chit...wachagga-wengi-meno-yao-ni-ya-rangi-gold.html. Kwenye hiyo thread ulisema kuwa una rafiki yangu mmoja anaitwa Mallya, pamoja na maiwaifu wake kutoka Kibosho. Vipi hao hawajui kutengeneza mebe nzuri? Baada ya kupewa majibu ukashukuru halafu ukauliza "Kingine kwa nini Wamachame na Wakibosho hawapatani?"

See your pattern?
 

Aiseee. .
Ahsante EMT maana sasa nimeona Ritz anapotokea. Sio bure!!
 

EMT,
Kuna ubaya mie kuuliza hivyo labda nikuulize wewe wasiwasi wako kwangu ni nini mpaka unanihofia hivyo?
 
EMT,
Kuwa na amani tu mkuu.

Kwa nimesema sina amani? Tanzania ni nchi ya "amani" anyway kwa nini then nisiwe na amani?



Jina la "Ritz Mbege Bar" sounds great. LOL
Hiyo bar itakuwa ni exclusive kwa wachaga.
Nafikiri hiyo bar itamsaidia sana kujua wachaga maana amekuwa akiuliza maswali mengi juu ya wachaga
If he can't fight them, s/he better join them
 
View attachment 46358Umenikumbusha hii kitu ritz! Nimeimiss sana!!

ipo kibamba kwa mangi,kama unatoka mjini,ukishashuka kwa mangi, unapanda ako kajimlima kidogo apo mwendo wa dk 2, muulizie mama wawili, ndogo 800,kubwa 1600,tahadhari icho kitu ni cha ukweli usije saau hm mkuu,
 
EMT,
Kuna ubaya mie kuuliza hivyo labda nikuulize wewe wasiwasi wako kwangu ni nini mpaka unanihofia hivyo?

Kwako kuhoji ni kuwa na wasiwasi? Si umesema hii ni chitchat?
 
Daaaah! Ama kweli JF kiboko. Hata mapishi ya Mbege (Wari) niliyoyaona mara ya mwisho mwaka 1977 leo nakumbushwa? Ngoja niwahi Kiboriloni kutafuta 'makundu' na "mbeke' nitengeneze wari wangu. Idumu JF!!
 
hii made in Moshi/Arusha!! Dar vitu kama hivi uvipati!!

Kwa mama light mkuu tangu nikiwa mtoto 1982 anaProduct hiyo kitu na wateja wake wanakwambia toka enzi hizo mpaka leo ubora wake uko palepale. Ni mitaa ya lemara hapoo arusha. Attention!wateja wa kwa pepa. 99%macho yao ni mekundu sana na wanakohoa mno.dar kuna mama wa kichaga mitaa ya bonyokwa. Kahamishia rombo technology pande hizo. Mi huwa siziamini hizi za mikoani ila xmass lazima nigonge kitochi cha kibosho
 
Hodi hodi humu ndani ! Ati nyie wachagga !
Cheichei !
Saa sie wengine mjue Wazanzibari ivooo ?
Tutachangia nini hapa ? Mwatuonea ivooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…