Mbege nzuri inatengenezwa vipi

hahahah...inahusika sana!! mi napenda ile tamu ambayo ni fresh iliyotengenezwa siku hiyo hiyo!
Na kiti moto unapenda nyama ya upande gani? maana kitimo na mbege ni sawa na samaki na maji.
 
Na kiti moto unapenda nyama ya upande gani? maana kitimo na mbege ni sawa na samaki na maji.

Una visa wewe. .
Kila kimoja hapo kinajitegemea, sio lazima anaependa kitifaya apende na mbege.
 
Wapi mama SMILE?Mambo ya mbege hayo...Leta majibu watu wanataka mbege..
 

Mkuu Mchaka Mchakani,
Aisee wewe kiboko haya maujuzi sio mchezo! Nimejifunza maujuzi, hivi unaweza kuisafirisha kuipeleka mikoa mbali mbali bila kualibika?
 
mwanza tunatengeneza mbege ya Maharage na unga wa dona
fresh tu.
 
Mkuu Mchaka Mchakani,
Aisee wewe kiboko haya maujuzi sio mchezo! Nimejifunza maujuzi, hivi unaweza kuisafirisha kuipeleka mikoa mbali mbali bila kualibika?
Hapana ikitingishwa sana umbali mrefu inaharibika..ila huwa wanasafirisha ..kutoka Kibosho mpaka Arusha kwa kutumia Toyota Stout!
 
Pasaka ntakununulia usijali.
Hehehee labda ukinywa kata/chubuka kadhaa, tena zile kubwa.
Hiyo ofa uliyonipa siiachii! Nitakukubusha siku moja kabla ya pasaka!!
December nilikunywa zaidi ya chubuku but asubuhi yake nikawa pouwa kabisa,.....nataka kupata experience kwa wengine kama huwa zinawachosha!! Wewe unaweza maliza kitochi kizima? au kisichana(sijui kama hiki unakifahamu)
 
Basi andaa nauli ya watu wawili kwenda Moshi na kirudi, malazi na chakula utapata.

Ngoja niandae nikiwa tayari takustua Lizzy! Nianze kazi mie nataka niboreshe zaidi niwe nafunga kama juice za Azzam.
 
Nikumbushe. . . I'll deliver.

Aisee mimi kikombe kimoja tu cha chai au ile chibuku ndogo nikijitahidi sana.
 
Ngoja niandae nikiwa tayari takustua Lizzy! Nianze kazi mie nataka niboreshe zaidi niwe nafunga kama juice za Azzam.

Hahahaha. . .expiring date utazingatia lakini?
 
Rej hii sio fresh kabisa. Ndio nini kunifanya nitamani kulamba screen ya hiki kitochi changu?

hahahah mkwe acha kuchafua screen nakuandali visichana viwili lol!!! ile fresh haina msesewi inaitwa kifue nzuri balaa
 
Nikumbushe. . . I'll deliver.

Aisee mimi kikombe kimoja tu cha chai au ile chibuku ndogo nikijitahidi sana.
Hamna cha kudeliver hapa...nakufuata huko huko tunaria wote!! raha ya mbege ni kuinywa pamoja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…