Mbatia's Endorsement ni Busu la kifo!!

Mbatia's Endorsement ni Busu la kifo!!

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
29,515
Reaction score
42,646
Hello Jf

Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!

Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.

Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!

Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!

CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.

Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!

Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.

Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli unafahamika kuwa wapiga kura wa upinzani matumaini yao yako wapi. Cha muhimu ni kudai tume huru ya uchaguzi kwa nguvu zote, iwe jua iwe mvua.

Nadhani Mbatia na Lipumba wasitutoe kwenye hoja yetu ya msingi, kwamba uchaguzi huu ni lazima iwepo tume huru ya uchaguzi. Mbatia na Lipumba wanajua fika hata kukiwa na tume huru ya uchaguzi wao hawana uhakika wa kupata viti vya ubunge, ila wanajua fika wakitumika na Magufuli, wana uhakika wangalau wa kupata viti kadhaa kwa kazi ya kumtumikia shetani. Seif haikuwa rahisi kuingia hiyo hadaa, maana anajua anaungwa mkono wa kweli na wananchi wake, hivyo hahitaji hisani ya Magufuli. Waachwe wote wanaotaka kwenda kupata madaraka kwa hisani ya Magufuli waende, tubaki sisi ambao tunataka nafasi kwa ridhaa ya wananchi na siyo hisani ya mtawala.
 
Kamba ambayo CCM imening'inia kwa sasa!
tapatalk_1582962316900.jpeg
 
Wanachokifanya CCM wanawapa nguvu Vyama vingine kama hivyo vya Nccr,CUF ili Chadema ikigoma mpk tume huru ya uchaguzi ipatikane then CUF,Nccr,Act wataendelea na uchaguzi kama kawaida na kupewa vijimbo viwili vitatu then chadema wakilalamika huko kwny jumuiya za kimataifa CCM itasema mbona wenzao wameshiriki uchaguzi fresh tu.

Inabidi kui counter attack hii strategy ya CCM kwa mbinu za kimedani.
 
Ukweli unafahamika kuwa wapiga kura wa upinzani matumaini yao yako wapi. Cha muhimu ni kudai tume huru ya uchaguzi kwa nguvu zote, iwe jua iwe mvua.

Nadhani Mbatia na Lipumba wasitutoe kwenye hoja yetu ya msingi, kwamba uchaguzi huu ni lazima iwepo tume huru ya uchaguzi. Mbatia na Lipumba wanajua fika hata kukiwa na tume huru ya uchaguzi wao hawana uhakika wa kupata viti vya ubunge, ila wanajua fika wakitumika na Magufuli, wana uhakika wangalau wa kupata viti kadhaa kwa kazi ya kumtumikia shetani. Seif haikuwa rahisi kuingia hiyo hadaa, maana anajua anaungwa mkono wa kweli na wananchi wake, hivyo hahitaji hisani ya Magufuli. Waachwe wote wanaotaka kwenda kupata madaraka kwa hisani ya Magufuli waende, tubaki sisi ambao tunataka nafasi kwa ridhaa ya wananchi na siyo hisani ya mtawala.
Sisi tusiofungamana na upande wowote ngoja tusubili mtanange, lakini kwa CCM hii ambayo imeonyesha uchapakazi uliotukuka hata kama muwe na tume kama ya kenya (IEBC) kushinda ni ngumu kwa wapinzani.
 
Mkuu kinachotafutwa hapo sio Tume huru ili eti upinzani ushinde bali ni kuipa uhalali ushindi wa yeyote yule awe CCM au CHADEMA.

Unajua kipindi wapinzani wanadai mgombea binafsi na tume huru 2014 CCM wengi walikejeli ila shida inakuja pale mwana CCM akikatwa kura za maoni kwa rafu, hata akienda upinzani hana assurance ya kushinda anaanza kuona umuhimu wa tume huru.

Kwahiyo tume huru ikiombwa tusiangalie kwa jicho la kwamba Mbowe au Seif ndio wanataka ushindi bali hata kina Kassim Majaliwa au Makonda wataihitaji 2025!!
 
ACT Wazarendo wameapa lije jua au mvua wao uchaguzi lazima watashiriki. Hawa wanatumika na nani?
 
Kazi ipo
Mkuu kinachotafutwa hapo sio Tume huru ili eti upinzani ushinde bali ni kuipa uhalali ushindi wa yeyote yule awe CCM au CHADEMA.
Unajua kipindi wapinzani wanadai mgombea binafsi na tume huru 2014 CCM wengi walikejeli ila shida inakuja pale mwana CCM akikatwa kura za maoni kwa rafu, hata akienda upinzani hana assurance ya kushinda anaanza kuona umuhimu wa tume huru.
Kwahiyo tume huru ikiombwa tusiangalie kwa jicho la kwamba Mbowe au Seif ndio wanataka ushindi bali hata kina Kassim Majaliwa au Makonda wataihitaji 2025!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tusiofungamana na upande wowote ngoja tusubili mtanange, lakini kwa CCM hii ambayo imeonyesha uchapakazi uliotukuka hata kama muwe na tume kama ya kenya (IEBC) kushinda ni ngumu kwa wapinzani.
Uchapakazi UPI? Huu wizi na ulaghai uliotamalaki? Maisha magumu kwa mtanzania? Elimu ya hovyo (bora elimu) kwa watoto wetu? Ukosefu wa ajira au uwezeshaji ujasiriamali wa watoto wetu(wapiga kura wapya)?
Mnadanganyika na madaraja ya mfugale na ndege za ATCL? Kwani kuna aliyeichagua CCM ili ikanunue ndege cash kama kipaumbele wakati bado wanakunywa maji machafu? Huduma afya bado mbovu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko tuendako nguvu ya wapiga kura inaenda kupoteza maana, kinachoonekana kinafaa sasa ni nguvu ya mwenyekiti wa CCM aliye na dola, tume ya uchaguzi, na vyote upande wake, pamoja na kodi za wapiga kura kununulia wapinzani.

Ndio maana kina Mbatia na wenzake wameliona hilo, kuliko kuhangaishana na CCM kulinda kura zisiibiwe bora kutengeneza urafiki na mwizi uwe na uhakika wa kushinda, iwe kihalali au kwa makubaliano maalumu na mwizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tusiofungamana na upande wowote ngoja tusubili mtanange, lakini kwa CCM hii ambayo imeonyesha uchapakazi uliotukuka hata kama muwe na tume kama ya kenya (IEBC) kushinda ni ngumu kwa wapinzani.
Kama hali iko hivo, mshauri jiwe afanye mchakato wa tume huru ili audhihirishie ulimwengu kuwa anashinda kihalali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom