HEKIMA KWANZA
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 2,942
- 3,937
sawa...myoyambendi ;
Majibu niliyotoa ndio majibu halisi kulingana na propaganda za Mbatia.
Mbatia bado yuko kwenye general election campaign mode.
Tumsubiri mpaka atakapozinduka na kujikuta chama chake hakiwezi hata kufanya mkutano wa hadhara.
Kwa sasa acha aendelee kufanya kazi ya Tumaini Makene wakati yeye ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi.
Wamekula Pesa zote sasa wanatumia Pesa za umma kuandaa mikutano Mkuu .Ndani ya ccm hakuna msafi
A/c ya CCM ni nyeupe Pesa yote imetafunwa wao wenyewe ndioMbona watu wanaweweseka sana week hii? Wanaogopa nini Magufuli akiwa mwenyekiti wa CCM?
Halafu huyo Mbatia anapata wapi moral authority ya 'ubadhirifu? NCCR-Mageuzi imefia leo anasimama kuongelea uongozi wa Magufuli?
Unapotenda kinyume na Katiba, sheria, taratibu na kanuni za nchi unatakiwa kusimamishwa kazi. Na kama wewe ni top na hakuna wa kukusimamisha, inakubidi ujitathmini na uombe radhi au uachie ngazi. Njia mbaya haiwezi kuhalalisha matokeo hata kama yatakuwa mazuri. Ni sawa na jambazi akiiba pesa akazijengea Shule, bado ni jambazi tu, na ana hatia ya kujibu mbele ya Sheria.UUZWAJI WA NYUMBA ILIKUA NI SERA YA WAKATI HUO, KWAHIYO ULITAKAJE? NA HIZO PESA ALIPELEKA WAPI ? JE ALIFUNGUA AKAUNT NJE YA NCHI AU? JE ALIPELEKA CHATO, AU ZIMEFANYA MAMBO KWA MAENDELEO YA NCHI YAKE?
Mbatia kaongea ukweli na siku zote ukweli huwa unauma sana .A/c ya CCM ni nyeupe Pesa yote imetafunwa wao wenyewe ndio
*Kuoa au kuolewa ni sawa na kuchagua parachichi gengeni, unabonyeza tisa unanunua moja* ...
*( Hashim Rungwe)*
Muuzaji wa Nyumba za serikali wanaye huko huko UKAWA anaitwa Sumaye.
Pia Sumaye wakati anatangaza nia ya kugombea urais aliulizwa hilo swali ,inakuwa vipi Nyumba ziuzwe na yeye ni waziri mkuu???
Achieni vyama vifanye kazi za siasa muone huo msiba mnaoutabiri km utakuwepo,Hamwezi kuminya demokrasia eti watu wafanye kazi huo ni wizi kazi ya hivi vyama ni nini au hizo kazi mnazotaka wafanye fursa mmewaonesha au mmewekeza kiasi gani kwa taifa/sekta ili huko pawe mkombozi wetu wa kufanya kazi,Huu ni wizi tuu tuachieni tufanye siasa nayo ni kazi pia km nyingineYeye ni msafi kama ni msafi kwanini Nccr inamfia??
Mwambie Mbatia tunamshambulia sababu ana kipaji alichosema baba wa taifa za upumbavu. Kabla ya kumvaa magufuri akumuulize yule waliyempokea mwaka jana awasaidie mafuriko ya viroba mh Sumaye mbona hawataki kumwamini alichokisema na mwamuamini Lowasa alipokataa yeye si fisadi? Ushahidi alishautoa kamanda wa vijana ww bavichaJibuni hoja katika uzi huu mkitaka kumshambuli Mbatia anzisheni uzi wenu
Richmond ni ya kikweteMwambie Mbatia tunamshambulia sababu ana kipaji alichosema baba wa taifa za upumbavu. Kabla ya kumvaa magufuri akumuulize yule waliyempokea mwaka jana awasaidie mafuriko ya viroba mh Sumaye mbona hawataki kumwamini alichokisema na mwamuamini Lowasa alipokataa yeye si fisadi? Ushahidi alishautoa kamanda wa vijana ww bavicha
Mh Rais leo nakupongeza sana kwa kutumbua majipu wale waliohusika kulitia hasara taifa na kulifanya taifa kuwa shamba la bibi. Kila mahali kulikuwa na hewa mh Mtukufu Rais endelea na kasi hiyo. Moto wa NSSF tumeona.
Nakuomba baba kuna huku nako tumepata hasara chonde chonde wahusika watumbue tu majipu haya hakuna namna tunakuombea sana.
1. Uuzaji wa nyumba za serikali
2. Vivuko vibovu
3. Meli ya Kichina ile MV Dar es Salaam haifanyi kazi licha ya kununuliwa kwa bil 8.
4. Pia wale wote waliohusika na mgao wa pesa za Escrow na zile chenji za za rada tujue zilifanyia nini.
Tuko pamoja kupinga ubadhirifu.a kutumbua majipu wale waliohusika kulitia hasara taifa na kulifanya taifa kuwa shamba la bibi. Kila mahali kulikuwa na hewa mh Mtukufu Rais endelea na kasi hiyo. Moto wa NSSF tumeona.
Nakuomba baba kuna huku nako tumepata hasara chonde chonde wahusika watumbue tu majipu haya hakuna namna tunakuombea sana.
1. Uuzaji wa nyumba za serikali
2. Vivuko vibovu
3. Meli ya Kichina ile MV Dar es Salaam haifanyi kazi licha ya kununuliwa kwa bil 8.
4. Pia wale wote waliohusika na mgao wa pesa za Escrow na zile chenji za za rada tujue zilifanyia nini.
Tuko pamoja kupinga ubadhirifu.
Kheri ya wewe umejisemea ni rais wako.Watachonga weee lakini hawana jipya. Wamekosa cha kumkosoa Rais wangu JPM sasa wamebaki mara nyumba za serikali, mara mafisadi, mara amekandamiza demokrasia. Sasa ili mjue Rais wangu JPM anakerwa na ufisadi kaanzisha mahakama ya mafisadi.
Kuhusu kukandamizi demokrasia si kweli na pia demokrasia ni mikutano ya hadhara tu? Kwanza uzoefu unaonesha mikutano ya hadhara ya wapinzani imejaa uchochezi na matusi.
Uchaguzi umeisha mmeshindwa kaeni kimya subirini tena 2020. Mwisho hata huyo Mbatia naye si msafi mwambieni atoe boriti kwenye jicho lake kwanza ndo aone kakibanzi kwenye jicho la Rais wangu JPM.
Kukandamiza demokrasia ni zaidi ya jipu.Ni kweli hakuna msafi duniani lakini naunga mkono Magufuli anavyotumbua majipu hatua kwa hatua ila siungi mkono kukandamiza demokrasia
Wakiacha Udikteta wataona jinsi Ukawa inavyoibua Majipu .Kukandamiza demokrasia ni zaidi ya jipu.
Majipu aliyonayo mgonjwa wa upande wa chama chetu siowakumfanyia matibabu bali kumuua mauaji ya huruma maana ukisema kumpasua mtabakiza mifupa kwa kukamua usaha.Wakiacha Udikteta wataona jinsi Ukawa inavyoibua Majipu .
Vyama vipi hiv ambavyo hata offisi ni tatizo!!!Achieni vyama vifanye kazi za siasa muone huo msiba mnaoutabiri km utakuwepo,Hamwezi kuminya demokrasia eti watu wafanye kazi huo ni wizi kazi ya hivi vyama ni nini au hizo kazi mnazotaka wafanye fursa mmewaonesha au mmewekeza kiasi gani kwa taifa/sekta ili huko pawe mkombozi wetu wa kufanya kazi,Huu ni wizi tuu tuachieni tufanye siasa nayo ni kazi pia km nyingine
Hata wewe madam ni mtanzania uwe unampenda au humpendi atabaki kuwa Rais wako tu.Kheri ya wewe umejisemea ni rais wako.