Mbatia liangalie hili suala kwa umakini

Mbatia liangalie hili suala kwa umakini

Zitto ni mpenda mabadiliko! ila hapendi kuburuzwa, na hicho ndicho kinachowaogopesha cdm. Cdm mnataka kutumia vigezo vya matokeo ya serikali za vijiji kugawa majimbo! unadhan zzk na act wangekubali. kigezo gani kilitumika kugawana vjj! hao wenyeviti mnaowaongelea hata wanachama wa act walipigia kura ukawa kwa sababu act ilikua bado haijaanza kujitangaza! kwa hiyo mm naona wangetafuta nzuri ya kugawana majimbo hata kama haitalingana lakini kuwe maridhiano mazuri. chama kimoja kisione kua chenyewe ndio ukawa kuliko vingine safari itakua ngumu!

Kuwe na maridhiano mazuri nimeipenda hii. Asante.
 
Mimi sioni tatizo la mbatia, kuna viongozi ndani ya cdm ni tatizo sana. Wanafikiri wananchi tayari wameshawakubali na ni wao ndio vimungu mtu. Hatuwezi kuishinda ccm kamwe kwa kutosamee yaliyopita na kukaa pamoja ill kupanga jinsi ya kuishinda ccm. Ukiwambia Zitto ana mchango mkubwa sana, tusahau yalitokea tushirikiane nae, wanajenga kiburi kama wameshachukua nchi. Bila ya ushirikiano ccm hatuiwezi katu.

Katika vita lazima ujue adui yako sawasawa ndio uweze kumpiga na kumshinda. Ukisoma namba CC waliweza kumsoma Zitto na wakamtumia vizuri sana. Na sasa wanaisoma NCCR kuisambaratisha UKAWA kabla ya Oktoba. Zaidi haya mambo yanaendekezwa na ufisadi wa tutakupa au tutawapa hela nyingi na ukikubali wanakukupa kweli na hapo ndipo utu wako unaishia hapo kwa sababu unapoteza wote waliokuwa na matumaini kwako!

Mpango mzima wa UKAWA ni mzuri sana ndio maana CCM hawalali. Tunajua fika jimbo Fulani chama fulani ndio kiko vizuri pale kwa nini uweke kingine ambacho hakifurukuti pale? Hapo ndio mtu unahisi mchezo mchafu wa CCM ili wazidi kupata viti vingi bungeni.... AMKENI UKAWA amkeni wananchi!
 
Huwa Mara nyingine simuelewi mbatia na vipi ile kesi ya yule mjumbe wa Nccr upande wa Zanzibar aliechomekwa jina lake kwenye katiba mpya imeishia wapi?

kwakua niliona kama ilikua ni drama pale nilipowaangalia kwenye ITV name yule mjumbe akawa an analia
 
Katika umoja huu wa UKAWA upande wa NCCR mpaka sasa ndio wamesikika hadharani kutoa maneno na kuonesha pingamizi kwa baadhi ya mambo katika Umoja huu.


Bado NCCR mna muda wa kuangalia haya mambo kwa mapana kwa manufaa ya sisi WATANZANIA. Tumaini letu ni UKAWA.

Mh. Mbatia yaangalie haya kwa jicho lako la busara na karama za uongozi ulizopewa.

Katika mmoja ya wanasiasa ambao naamini wako makini mmoja wao ni Mbatia.
Ni vizuri akatambua kuwa Tanganyika itaendelea kuwapo hivyo anastahili kusahau kuwa rushwa aliyopewa ya Ubunge na JK isijeharibu chama chake na matarajio ya Maisha bora kwa watanganyika kupitia UKAWA ambayo yeye ni Mdau.


 
Wamewekeza wapi rasilimali watu na fedha katika kuhamasisha kujiandikisha, Elimu ya uraia, kuwajenga wananchi kisaikolojia. Mbatia na timu yake wamefanya hayo wapi katika miaka 5 hii.

Katika umoja (Partnership). Mwenye Mtaji ndio mwenye Nguvu.

Na kuna ambaye atafaidi lakini si kumunea wivu aliyotoka Jasho na Damu wakati mmekaa ofisini.

Arusha Nccr ili lazimisha kusimamisha kwa kuwa watu wa Huku ni waelewa.. Mgombea wao hakupita.

Busara itumike. Adui ni mmoja.

Ukawa pamoja
 
Wamewekeza wapi rasilimali watu na fedha katika kuhamasisha kujiandikisha, Elimu ya uraia, kuwajenga wananchi kisaikolojia. Mbatia na timu yake wamefanya hayo wapi katika miaka 5 hii.

Katika umoja (Partnership). Mwenye Mtaji ndio mwenye Nguvu.

Na kuna ambaye atafaidi lakini si kumunea wivu aliyotoka Jasho na Damu wakati mmekaa ofisini.

Arusha Nccr ili lazimisha kusimamisha kwa kuwa watu wa Huku ni waelewa.. Mgombea wao hakupita.

Busara itumike. Adui ni mmoja.

Ukawa pamoja
 
Mbatia na nccr ni virusi

Nana umoja ukivunjika.... but chili nililitegemea CDM wanafiki sana wanatumia vyama vingine kwa masirah binafsi.... Umoja utakaokuja kuwa strong n utakaomshirikisha ZZK km kiongoz wa juu hata ivo endapo cdm mbinafsi wa achane nayo na waunganishe nccr, cuff na Act alaf wataungana tena na cdm apo baadae chin ya uongoz mwingine sio huu wa mbowe na slaa wanafiki sana. Namuonea huruma mbatia coz atabaki name jimbo la vunjo km Mungu akimjalia coz uwezekano wa kupata jmbo kigoma n mdogo labda la kafulila but na yy kwa sasa anajivuruga
 
Ha Muji

Hakika kwa kauli ya Mbatia ya jana, nimekatishwa tamaa nayekwa sana. Mbatia anajua kuwa viongozi wa NCCR wanakaa ofisini wakati wale waCDM wako field wakati wote. Haiwezekani ukae ofisini wakati wote halafuutarajie wato wakuone bora kwa kuto matamko kmbele ya waandishi wa habari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom