Mbatia kwishinei!!

Mbatia kwishinei!!

ACHEBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Posts
348
Reaction score
76
Sasa si siri tena kwamba Bwn.James Mbatia kisiasa maetengeneza kitanzi cha kujimaliza mwenyewe na wabaya wake ndani ya NCCR Mageuzi wametumia kamba hiyo kummaliza kabisa Mbatia. Hii inatokana na uamuzi wa Mbatia kukiingiza chama chake kwenye ndoa ya mkeka na CUF na Chadema. Inasemekana wabaya wake wameamua kuja juu wakiuliza ni kikao gani kilichokaa kupitisha uamuzi wa kuamua kuolewa na vyama hivyo vingine? Wabaya wake hao wameshapanga mashambulizi kupitia uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu!
 
Mbatia kazoea vya dezo siku zote ubunge wenyewe kapewa kwenye ndoa kaingizwa hata mahali hajui nani atatoa mbatia sifuli kabisa.
 
ule no muungano wa wenyeviti. je na hao wanao mfunga kitanzi ni wenyeviti?. mia
 
Sasa si siri tena kwamba Bwn.James Mbatia kisiasa maetengeneza kitanzi cha kujimaliza mwenyewe na wabaya wake ndani ya NCCR Mageuzi wametumia kamba hiyo kummaliza kabisa Mbatia. Hii inatokana na uamuzi wa Mbatia kukiingiza chama chake kwenye ndoa ya mkeka na CUF na Chadema. Inasemekana wabaya wake wameamua kuja juu wakiuliza ni kikao gani kilichokaa kupitisha uamuzi wa kuamua kuolewa na vyama hivyo vingine? Wabaya wake hao wameshapanga mashambulizi kupitia uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu!
Mkuu mi nasubiri ndoa hii itakavyowatia vitanzi wengine make wamechezeshwa kombe la mbuzi wakidhani ligi kuu mbatia ndiyo basi tena.
 
kazi ya magamba ni kutafuta namna ya kuwatenganisha walioungana maana wanafahamu wazi kuwa UMOJA NI NGUVU zote hizi ni ngonjera za kutaka kumvunja moyo mh. Mbatia

Tunasema tunahitaji katiba nzuri ya wananchi wote
GO AHEAD MBATIA MAGAMBA YATAKUFA YENYEWE
 
Mbatia kazoea vya dezo siku zote ubunge wenyewe kapewa kwenye ndoa kaingizwa hata mahali hajui nani atatoa mbatia sifuli kabisa.

sasa umeandika nini, mbona hueleweki, unapoandika jaribu kusoma hii ni aibu mkuu.
 
Mbatia ni kiongozi makini mno. Mleta maada usifikiri mbatia ni wakuchanganywa na viuzi vyako visivyo na nyuma wala mbele kama hiki ulichokiposti.
 
CCM wana kazi kweli.....huu muungano utawamaliza nyie chukulieni poa,,?
 
Wazushi wa Buku 7 banaaa wanajua kuzusha kweli kweli ili mradi tu waharibu muelekeo wa mjadala...Ni lini DHAIFU atamvua ubunge Mbatia!? Si yeye ndiye alimuingiza mjengoni!!! Uzushi mwingine hovyooooo!!!!

Sasa si siri tena kwamba Bwn.James Mbatia kisiasa maetengeneza kitanzi cha kujimaliza mwenyewe na wabaya wake ndani ya NCCR Mageuzi wametumia kamba hiyo kummaliza kabisa Mbatia. Hii inatokana na uamuzi wa Mbatia kukiingiza chama chake kwenye ndoa ya mkeka na CUF na Chadema. Inasemekana wabaya wake wameamua kuja juu wakiuliza ni kikao gani kilichokaa kupitisha uamuzi wa kuamua kuolewa na vyama hivyo vingine? Wabaya wake hao wameshapanga mashambulizi kupitia uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu!
 
Aisee babayangu mleta mada 2kutane kesho lumumba 2kale buku 7 Zetu
 
Hivi mbatia naye ni mwanasiasa mimi sijui anafanya nini kwenye anga ya siasa.
 
Sasa si siri tena kwamba Bwn.James Mbatia kisiasa maetengeneza kitanzi cha kujimaliza mwenyewe na wabaya wake ndani ya NCCR Mageuzi wametumia kamba hiyo kummaliza kabisa Mbatia. Hii inatokana na uamuzi wa Mbatia kukiingiza chama chake kwenye ndoa ya mkeka na CUF na Chadema. Inasemekana wabaya wake wameamua kuja juu wakiuliza ni kikao gani kilichokaa kupitisha uamuzi wa kuamua kuolewa na vyama hivyo vingine? Wabaya wake hao wameshapanga mashambulizi kupitia uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu!

Kwani mlimpa majukumu na madarka ya kuwaongoza hadi wapi?
 
Sasa si siri tena kwamba Bwn.James Mbatia kisiasa maetengeneza kitanzi cha kujimaliza mwenyewe na wabaya wake ndani ya NCCR Mageuzi wametumia kamba hiyo kummaliza kabisa Mbatia. Hii inatokana na uamuzi wa Mbatia kukiingiza chama chake kwenye ndoa ya mkeka na CUF na Chadema. Inasemekana wabaya wake wameamua kuja juu wakiuliza ni kikao gani kilichokaa kupitisha uamuzi wa kuamua kuolewa na vyama hivyo vingine? Wabaya wake hao wameshapanga mashambulizi kupitia uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu!

Mi nikajua sijui amepata ajari kumbe buku 7 kazini....vp umenunua hata ka kiwanja Kibaha mkuu kwa hizo buku 7?
 
Mbatia kazoea vya dezo siku zote ubunge wenyewe kapewa kwenye ndoa kaingizwa hata mahali hajui nani atatoa mbatia sifuli kabisa.

Unaweza kuwa na point lakini habari umeandika kitaarabu mno kama una schoolmate anayejua kuandika uzi muombe akusaidie
 
Hivi Bungeni hakuna Frem za Maduka za kupangisha pamoja na Bomba la majitaka watu watiwe Adabu wakat wa Session?
 
Back
Top Bottom