Carlos Valderrama
JF-Expert Member
- Dec 27, 2014
- 664
- 240
Mbowe atampa nafasi ya msemaji pale ufipa.
Mbatia ameshikwa pabaya kila mahali. Ndani ya chama na viongozi wenzake na nje ya chama. AnanukaNmeona
Yuko hoi kwel
Anatafuta kiki eti wanataka kumuua
Hahah
Nan akuue mbatia?
Safari hii harud bungen
Amezoea kuteuliwa
safari hii n hapa kazi tu
Hatutak wabunge mizigo
Kwa ujinga wako ww ndo mkatae lakini Mbatia moto mkali..ndo mbunge wangu mie mwanavunjo kutokea kijiji cha uparo.Kaa na ilo zee lako la kujipendekeza zaidi 25 /10nyaambaf zzako na liCCM lakoMi nadhani hakuna haja ya kumtupa Mrema. Wana vunjo wote bado wanamkubali sana na amejitahidi kutatua matatizo ya wananchi kwa asilimia 90. Sasa kwa nini wamtoe, ushabiki au. Nini hasa ambacho Mbatia safari hii ataweza kufanya. Hana lolote alishindwa kutimiza ahadi kipindi kile alichokuwa mbunge mpaka akakataliwa leo hii ana jipya gani tena.
Wana vunjo wala msidanganywe kabisa. Achaneni na huyo mchumia tumbo.
Chama chake nccr chenyewe kinamshinda na kinasambaratika leo ataweza ya Vunjo.
Aisee ungekuwa binti ungeshatundikwa mimba 5 kwa umbea. Hata kama hayo unayosema ni ya kweli ww yamekuuma nn? Shame on you hebu nadi hizo pombe zakp ya ukawa tuachie wenyewe
Mi nadhani hakuna haja ya kumtupa Mrema. Wana vunjo wote bado wanamkubali sana na amejitahidi kutatua matatizo ya wananchi kwa asilimia 90. Sasa kwa nini wamtoe, ushabiki au. Nini hasa ambacho Mbatia safari hii ataweza kufanya. Hana lolote alishindwa kutimiza ahadi kipindi kile alichokuwa mbunge mpaka akakataliwa leo hii ana jipya gani tena.
Wana vunjo wala msidanganywe kabisa. Achaneni na huyo mchumia tumbo.
Chama chake nccr chenyewe kinamshinda na kinasambaratika leo ataweza ya Vunjo.
Wewe mtoto Mbatia atachaguliwa kwa mara ya pili kuwa mbunge wa Vunjo. Na kama kwa sababu ya utoto wako hujui ni kwamba hii siyo mara ya kwanza,alishakuwa mbunge wa Vunjo!
mrema hana lake hapa vunjo aixee zaidi ya kulia kua mbatia anamchezea rafu ...MBatia ndio mbunge we2 hapa kwa mara ya pili