Mbatia ametumika kuua demokrasia nchini!

Ulitamani aungane na CCM kuua upinzani?

Acha porojo wewee,, mbatia hana akili za kushikiwa kama unavyofikiri.

Subirini upinzani unakufa kesho.
Haswaaa hiki ndio alikitegenea
Kumbuka walivowatumia wale wachumiatumbo kumng'oa mbatia wakachemka..
Wakowapi now
 
Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.

Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege.
Mwambie na Lipumba Aache Kuiua CUF Kwa Maslahi ya CCM
 
bora kibaki chama kimoja mkuu
 
Mkuu naona unahuruma sana na NCCR na unauchungu na unalilia demokrasia sana. Tafadhali usiishie hapo mshauri pia JPM awape wengine haki zao na ajenge demokrasia (tume huru ya uchaguzi, asibane sector binafsi, uhuru wa kujumuika na kupata habari). Mwambie pie jaji asilazimishe vyama vya siasa kufanya kazi na mapandikizi. Ukifanya hivyo nitakuelewa kama kweli wewe unausongo na demokrasia.
 
Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.

Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege.
Mama Tanzania! Ah kulikuwa na mbwembwe kweli mwaka jana!
 
Huyo alishafanya,usingehangaika nae.yupo wa sasa ambae anaaminiwa lakini na yeye mtakuja kusema kama haya siku za usoni
 
Mh Mbatia mtu safi sana, na Mbowe pia ni watu wenye busara sana, maana waliliona hilo wakaua upinzani sasa upo ICU, chadema ilishakufa sasa ni mifupa tu.
 
Ok, ni sawa kusema Mbatia anashiriki kuua upinzani!
Vipi kuhusu Prof. Haruna Lipumba? Je. huyu ndiye anayejenga Upinzani Tanzania kwa akili ya CCM Lumumba!
Mbona hatuwasikii mkimnanga jamaa yule? CCM endeleeni kuwafanya Watanzania ni majuha, mazezeta na wasiojua lolote! Lakini amin amin nawaambia ya kwamba kile kilichotokea Gambia na DRC Kongo you have got it coming. The God Almighty is just watching you.
Period!
 
Back
Top Bottom