Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Chama maana yake siyo uwepo wake tu bali ni kazi na uwezo! Wewe malaika uliyebarikiwa kuhukumu wenzako kunyongwa unadhani vyama huwa havifi??Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.
Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege
Acha unafiki, Nyie si mnachukia sana vyama pinzani na hata mikutano ya hadhara mmepiga marufuku, leo hii roho nzuri ya kuitetea NCCR MAGEUZI umeiokota wapi?Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.
Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege
Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.
Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege
LipumbaLB7 - Bombadia FC naona mmeamua kugawana wa kuwashambulia
....timu moja imemshika Mbowe
....timu nyingine sasa Mbatia
....timu nyingine.....
Kwani nyie CCM mnapata faida gani NCCR ikiwa na nguvu kama siyo unafiki tu unakusumbua?Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.
Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege
Sidhani Kama Huyu anahusika na kukiua hicho chama, Hicho kilishajifia toka enzi zileeeeeee za Mzee Wa Paroleeee.Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.
Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege.
WAKUDADAVULIWA.. unaongea haya kwa upendo wa mageuzi au ndo kuendeleza umbea wako waMbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.
Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege.
Watagawana mpaka dkk 90 zitaisha huku wanepigwa baoLB7 - Bombadia FC naona mmeamua kugawana wa kuwashambulia
....timu moja imemshika Mbowe
....timu nyingine sasa Mbatia
....timu nyingine.....