Mbatia ametumika kuua demokrasia nchini!

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.

Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege.
 
Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege
Chama maana yake siyo uwepo wake tu bali ni kazi na uwezo! Wewe malaika uliyebarikiwa kuhukumu wenzako kunyongwa unadhani vyama huwa havifi??
 
Ulitamani aungane na CCM kuua upinzani?

Acha porojo wewee,, mbatia hana akili za kushikiwa kama unavyofikiri.

Subirini upinzani unakufa kesho.
 
Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.

Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege
Acha unafiki, Nyie si mnachukia sana vyama pinzani na hata mikutano ya hadhara mmepiga marufuku, leo hii roho nzuri ya kuitetea NCCR MAGEUZI umeiokota wapi?
 
Ni Kifungu ganincha Sheria kinamtaka mtu anayeua Chama cha Siasa (kama unavyodai) adhabu yake ni Kuhukumiwa kifo au kifungo cha maisha?
 
Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.

Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege

wewe huwezi kuwa kiongozi maana huoni mbali unasubiri mpaka umefika sehemu unagundua ulikotaka kwenda sio ndio unaanza kulalamika aliyekuonyesha njia.

siasa zinabadilika, wakati wewe unamhukumu mbatia kwa kumuunga mkono Lowasa wapo pia kina Dr Slaa ambao wanahukumiwa kwa kumkataa Lowasa.

kikubwa ni watu kutokutambua siasa, kuzielewa na kufanya maamuzi.

cha msingi fikiria mikakati ya kisiasa ya kukikuza chama na sio kutazama kiongozi kama yeye ndiye awe kafara ya upepo wa siasa kuwageuka. ki msingiyawezekana NCCR msingejiunga na ukawa kwa wakati ule hata mmbunge mmoja mliye naye msinge pata. watizame ACT wazalendo mbali na kutojiunga na ukawa wako wapi.

wakati chama tawala kinaonekana kuongoka machoni pa watu nakuanza kuwa wapinga rushwa, wapinga ufisadi, watetezi wa wanyonge ninyi mko mnatafuta wachawi miongoni mwenu, mko mnawatetea watu wachache wanaotumbuliwa kwa makosa. Maandalizi ya 2020 ndio sasa na msipolitambua hilo mkaanza kujenga taswila yenukwa watu mkategemea mwaka wa mwisho ndio muanze kuungana na kuwatetea wananchi mtakuwa mmechelewa sana.
 
Mbatia aliteuliwa ubunge viti maalum na jk kipindi hicho kwa kazi maalum...

pia inasemakana ni usalama wa taifa aliye tukuka...

hao ndio mamluki wa ccm ktk vyama vya upinzani
 
Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.

Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege
Kwani nyie CCM mnapata faida gani NCCR ikiwa na nguvu kama siyo unafiki tu unakusumbua?
 
Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.

Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege.
Sidhani Kama Huyu anahusika na kukiua hicho chama, Hicho kilishajifia toka enzi zileeeeeee za Mzee Wa Paroleeee.
Inawezekana umezaliwa Jana.
 
Mbatia amekera sana, ametumika kuua demokrasia nchini. Ametumika kuua NCCR-Mageuzi kwa maslahi yake binafsi. Mbatia alikuwa wa kwanza kukaza shingo kutetea ujinga wa akina Lowassa na kundi lake huku akiua chama chake. Leo NCCR-Mageuzi ina mbunge mmoja tu ambaye ni yeye baada ya kupewa hisani na Mbowe kama malipo ya kukuza CHADEMA. NCCR-Mageuzi ndicho chama kilicholeta mageuzi na changamoto ya siasa za vyama vingi nchini.

Mbatia lazima ajue laana hii ya kuua chama haitakuacha, una jambo moja tu la kufanya ni ukipona maradhi yako omba radhi watanzania na utangaze kuhamia CHADEMA ili kutoa fursa ya vijana kuimarisha siasa za upinzani Tanzania. Umekuwa popo muda mrefu sasa ni wakati wa kuonyesha rangi yako halisi tujue kama wewe ni myama au ndege.
WAKUDADAVULIWA.. unaongea haya kwa upendo wa mageuzi au ndo kuendeleza umbea wako wa LUMUMBA
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom