Mie naona lyatonga,apumzike kuliongoza jimbo hilo,maana kazi ya upizanzani kashindwa,awache wezie wanao weza kujenga hoja za kuikosoa selikali inapo kosea .lakini kwa kusifia anako sifia lyatonga hata katika mambo ya ajabu niaibu kujiita mpizani.wana vunjo njia nyeupe kumpokea mbatia,ili awe kipaza sauti chenu pale mjengoni(dodoma)
Jamani naomba mnisaidie utambuzi wa registration ya hilo gari. Mbona plate number inaonyesha gari hilo ni la taasisi ya kimataifa au mimi ndo sielewi? Na kama ni la taasisi, iweje liingie kwenye politics?
Nzee wa Kiraracha upooooo? Sema tukusikie nji yako hii, usipandishe kisukari hayo ni malipo ya usaliti kwa watu wanaokuheshimu njini. Natoa siku 7 ujibu mapigo
JAMANI MREMA,MREMAAA HAHH MREMAA MREMAAA AA MREMA,Wengine wanalalamika eti, Mrema kawaingilia, wengine wanasema Mrema kavuka mipaka, ni mipaka gani hiyo ndani ya nchi? Ni mipaka gani hiyo?
Naomba kujua uhalali wa hilo gari aliloingia nalo ...au ni la yule dada yake mbunge wa east africa? Kingine kimeniacha hoi ni hao mabaunsa wake ... wameiga kwa mbowe ... mbwembwe tupu ... but kiukweli bado sina imani sana na mh. huyo kama ni kweli ni mpinzani ama? i am sorry for that.
mbatia acha kuigiza filam , au unatuona watanzania mbumbu sana eee, hao watu uliowaweka wamedandia gari kwa pembeni wanalinda nini km sio maigizo au unatengeneza filam, unawalipa bure nafuu hizo hela ungefanya kitu cha maana ungepata publicity kuliko unavyofanya maigizo hapo
Sasa hivi Mbatia anapiga mechi za mchangani baada ya kudanganyiwa ukawa, kaiua NCCR kabakia na ubunge tu, umaarufu wake unategemea kesi kama ile ya mrema ,amshukuru sana mrema kufungua ile kesi maana bila yeye tusingemsikia tena.
Kama hujui basi naibu waziri wako wa afya nae 2001 aliongoza mgomo wa Madaktari, tena ni mwanaCCM mwenzako! so hilo suala la mgomo ona aibu kulizungumzia hapa poyoyo wewe. Ukiwa mjinga uwe na kumbukumbu.