Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,509
[mufindi hakuna mbao???
kwanini msijitengenezee madawati hadi msubiri serikali?
Nendeni kilimanjaro shule zina madawati ya akiba yako stoo
hizi ni juhudi za walimu wazazi na viongozi wa kata na wilaya
alichosema Mbatia ni sahihi kabisa hajitafutii umaarufu
QUOTE=Ntuzu;7026966]Mbatia na yeye asitafute umaarufu au asipige kelele ktk swala la vitabu tu au mitihani tu. Aende Mufindi huko akaone shule haina madawati wamebumba udongo ndo madawati wanakalia wanafunzi na kuandikia. We unadhani hapo itapatikana elimu kweli?
Alafu Hawa viongozi wa chama cha madawa wanajisifu eti miaka 50 ya uhuru eti wamefanya makubwa. Makubwa wapi au makubwa katik swala la ufisadi na kushindwa kisimamia serikali na mashirika yote vzr ndo maana twaona tumekua lango la madawa na tumekua lango la bidhaa feki yani tumekua hivyo hivyo.[/QUOTE]