Mbaroni kwa kukutwa na meno ya tembo

Hivi wanaposema meno ya tembo wanamaanisha zile "pembe za ndovu" (Tusks) au ni meno kama meno anayotumia tembo kutafuna nyasi.

Maana ninachojua mm ni kuwa zile pembe ndio zenye thamani kwakua zinamatumizi mbalimbali, ila kuhusu meno ya tembo sijui yanakazi gani.

Wajuzi tujuzane tafadhali.
Kisayansi ni Meno, kwa kuwa huota kwenye taya ya juu. KWA HIYO SIYO PEMBE!
 
Back
Top Bottom