Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,161 Feb 21, 2013 #1 Leo tena nimeguswa kuwaletea upako wana MMU. Ni mapito tu unapitishwa tu, jua kuna siku yatapita. Kuna watu mioyo yetu imekuwa mizito kutokana na matatizo tunayoyapitia lakini jua kuna siku yataisha nawe utakuwa huru. Anasema adui akija kwa njia moja jua atatawanyika kwa njia saba , unaweza ukashangaa how njia saba but kwa Mungu inawezekana. Christina Shusho - Mapito [official video].flv - YouTube
Leo tena nimeguswa kuwaletea upako wana MMU. Ni mapito tu unapitishwa tu, jua kuna siku yatapita. Kuna watu mioyo yetu imekuwa mizito kutokana na matatizo tunayoyapitia lakini jua kuna siku yataisha nawe utakuwa huru. Anasema adui akija kwa njia moja jua atatawanyika kwa njia saba , unaweza ukashangaa how njia saba but kwa Mungu inawezekana. Christina Shusho - Mapito [official video].flv - YouTube
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Feb 21, 2013 #2 Na wewe pia UBARIKIWE.
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Feb 21, 2013 #3 Ameeen....
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Feb 21, 2013 #4 Mmh, kuna siku upako unakuja, asante!
kalukamise JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 683 Reaction score 191 Feb 21, 2013 #5 Tujiandae kwa kufunga au vipi ?????