utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
hmm! mkuu unajistukia eenh? lols!
Sio mkuu, nimekuja fasta bt sijaelewa
hmm! mkuu unajistukia eenh? lols!
Sio mkuu, nimekuja fasta bt sijaelewa
unataka nikufafanulie au
Nimeelewa anatoa shukran au? Ngoja nirudie kusoma
Nakaribia siku zangu
​mimi sikumbuki aisee,hebu nikumbushe best!!Yap kuna baadhi walizidi kunihuzunisha kama akina utafiti Munkari, amu, KINGmaro, Passion Lady, hamjafa hamjaumbika mjue, kuna wengine walidiriki hata kuniua kwa kuniambia RIP.
Ila niwashukuru kina Red Giant, Aadilu, kibhopile, Red Giant, asee mjue mmeusave uhai wangu! Hasa King'asti na Bawa mwamba
mbarikiwe kwakweli.
Aha ha haa. Hii inasound kizaramo kizaramo hivii. Ushawahigi katiza maeneo ya kiswazi afu ukakutana na wadada wa hivyo? Daah umenikumbusha mbali lakini.Kwanza ukome kuntaja taja mie nlikuambia neno moja tu"ukome" hope umekoma hurudii tena.
Huoni kuwa nimekusaidia??
umeacha kuwataja wakina snowhite huko unamtaja mie.
Narudia tena ukome ubaba huruma.
Usihudhurie tu bali amua kuwa mmoja wa wana wa nyumbani kwa MunguAsee nataka nianze kuhudhuria nyumba ya Mungu asee, Hakika yu Mwema.
yap kuna baadhi walizidi kunihuzunisha kama akina utafiti munkari, amu, kingmaro, passion lady, hamjafa hamjaumbika mjue, kuna wengine walidiriki hata kuniua kwa kuniambia rip.
Ila niwashukuru kina red giant, aadilu, kibhopile, red giant, asee mjue mmeusave uhai wangu! Hasa king'asti na bawa mwamba
mbarikiwe kwakweli.
kuna wajapani , wachina , wakorea wote wako na sura moja