ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,628
- 4,971
Habari zenu wadau.
Leo napenda niwashukuru sana kutokana na michango yenu mlionipatia kutokana na majanga yale nilokutana nayo. Hakika mumeokoa maisha yangu. rejea hapa.
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/585017-mawazo-yananiua.html
Si nikuhusu yule mdada nilokutana nae siku ile.
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/605487-mdada-wewe-wa-one-night-stand.html
Basi maisha yangu tangu siku ile yakawa ya mawazo sana wadau. Ila kuna wadau kama spleen wakani pm juu ya doz ya PEP ikabidi nizitafute dozi hizi. Haikuwa rahisi kujieleza kwa daktari lakini kwa kutetea uhai wangu nikafanikiwa na kuanzishiwa hiyo dozi. Niliitumia kwa muda wa mwezi mmoja then nikaambiwa nisubiri baada ya miez mitatu nikapime tena. Muda wote huo nilikua nikiishi kwa wasiwasi sana.
Nimeshapima mara 5 na majibu yangu yako vizuri. mpaka leo hii pia nimepima na kujiridhisha niko safi. Najisikia furaha mno:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin:
Niwashukuru sana wadau!

Last edited by a moderator: