Nimepigiwa simu na rafiki yangu ambaye yupo Mbeya Wilaya ya Mbarali kuwa vikosi vya FFU vimepiga kambi kule baada ya wananchi kuzuia mwekezaji wa mashamba ya mpunga (NAFCO) kuondoa machine ya kukoboa mpunga iliyokuwepo pale shirikani muda mrefu. Wananchi wanadai ni mwekezaji ni wa muda tu na kila kitu amekikuta na hakuna kuondoka na kitu na wamefunga barabara toka jana hali iliyofanya polisi wa wilayani hapo kuomba msaada wa polisi zaidi kutoka makao makuu ya mkoa ambao wamemwagwa leo pale wakiwa full na bendera nyekungu mikononi.
Inasemekana yamepigwa baadhi ya mabomu ya machozi na kuwakamata baadhi ya viongozi wa wananchi jambo ambalo limeamsha hasira za wananchi hao na sasa wanasema wanalitaka shamba lote lililochukuliwa na mwekezaji huyo. wanadai hakuna kulala hadi hadi haki itendeke.
Mwenye habari zaidi tafadhari tumwagie.
Source: Eye witness
Huyo mwekezaji ni nani?ROSTAM au MANJI =JK tu manake hawa ndio wachawi wetuNimepigiwa simu na rafiki yangu ambaye yupo Mbeya Wilaya ya Mbarali kuwa vikosi vya FFU vimepiga kambi kule baada ya wananchi kuzuia mwekezaji wa mashamba ya mpunga (NAFCO) kuondoa machine ya kukoboa mpunga iliyokuwepo pale shirikani muda mrefu. Wananchi wanadai ni mwekezaji ni wa muda tu na kila kitu amekikuta na hakuna kuondoka na kitu na wamefunga barabara toka jana hali iliyofanya polisi wa wilayani hapo kuomba msaada wa polisi zaidi kutoka makao makuu ya mkoa ambao wamemwagwa leo pale wakiwa full na bendera nyekungu mikononi.
Inasemekana yamepigwa baadhi ya mabomu ya machozi na kuwakamata baadhi ya viongozi wa wananchi jambo ambalo limeamsha hasira za wananchi hao na sasa wanasema wanalitaka shamba lote lililochukuliwa na mwekezaji huyo. wanadai hakuna kulala hadi hadi haki itendeke.
Mwenye habari zaidi tafadhari tumwagie.
Source: Eye witness
Nimepigiwa simu na rafiki yangu ambaye yupo Mbeya Wilaya ya Mbarali kuwa vikosi vya FFU vimepiga kambi kule baada ya wananchi kuzuia mwekezaji wa mashamba ya mpunga (NAFCO) kuondoa machine ya kukoboa mpunga iliyokuwepo pale shirikani muda mrefu. Wananchi wanadai ni mwekezaji ni wa muda tu na kila kitu amekikuta na hakuna kuondoka na kitu na wamefunga barabara toka jana hali iliyofanya polisi wa wilayani hapo kuomba msaada wa polisi zaidi kutoka makao makuu ya mkoa ambao wamemwagwa leo pale wakiwa full na bendera nyekungu mikononi.
Inasemekana yamepigwa baadhi ya mabomu ya machozi na kuwakamata baadhi ya viongozi wa wananchi jambo ambalo limeamsha hasira za wananchi hao na sasa wanasema wanalitaka shamba lote lililochukuliwa na mwekezaji huyo. wanadai hakuna kulala hadi hadi haki itendeke.
Mwenye habari zaidi tafadhari tumwagie.
Source: Eye witness
Huyo mwekezaji akiondoka wananchi hawataathirika kwa maana ya kupoteza ajira? Kama wananchi hawaoni faidi ya huyo mwekezaji (social responsibility) in maana huyo anachuma tuu na kuhamishia kwao. Aondoke tuu, wananchi watalima hilo shamba wenyewe ingawaje kilimo cha vishamba vidogo vidogo (peasants farming) hakina tija kwa uchumi wa nchi.
Ikumbukwe kuwa huyu mwekezaji ndiye yule aliyesababisha mtu mmoja kufa na mwingine kulemaa kwa kupigwa risasi na polisi. Amefunga maji ya matoleo yaliyokuwa yanatumiwa na wananchi wa kilimo kidogo (small scale) na sasa wananchi wale hawawezi tena kulima na kujipatia kipato. Vilevile anakodisha mashamba kwa ghalama kubwa sana kuliko ilivyokuwa hapo awali. Ni mgogoro wa muda mrefu unaochochewa na serikali kuwa upande wa mwekezaji zaidi kuliko upande wa wananchi.
Sasa kama umejifungia ndani utapateje utajuaje kinachoendelea? We mwe...u nini??
Sasa kama umejifungia ndani utapateje utajuaje kinachoendelea? We mwe...u nini??
mimi niko mbarali hakuna kitu cha namna hiyo
Jamani jamani na hii itasingiziwa CHADEMA...Nimepigiwa simu na rafiki yangu ambaye yupo Mbeya Wilaya ya Mbarali kuwa vikosi vya FFU vimepiga kambi kule baada ya wananchi kuzuia mwekezaji wa mashamba ya mpunga (NAFCO) kuondoa machine ya kukoboa mpunga iliyokuwepo pale shirikani muda mrefu. Wananchi wanadai ni mwekezaji ni wa muda tu na kila kitu amekikuta na hakuna kuondoka na kitu na wamefunga barabara toka jana hali iliyofanya polisi wa wilayani hapo kuomba msaada wa polisi zaidi kutoka makao makuu ya mkoa ambao wamemwagwa leo pale wakiwa full na bendera nyekungu mikononi.
Inasemekana yamepigwa baadhi ya mabomu ya machozi na kuwakamata baadhi ya viongozi wa wananchi jambo ambalo limeamsha hasira za wananchi hao na sasa wanasema wanalitaka shamba lote lililochukuliwa na mwekezaji huyo. wanadai hakuna kulala hadi hadi haki itendeke.
Mwenye habari zaidi tafadhari tumwagie.
Source: Eye witness
Mkuu ni kweli hawa jamaa wana kera sana tu lakini hebu punguza mkali...........................
haaa umerudi inchini lini? acha uuuseenge ww. kama huna data shut up!
Swali zuri sana mkuu....................Tokea achukue hilo shamba amewekeza kiasi gani? Kwa nini anawakodishia wananchi shamba wakati amepewa ili alilime kibiashara?
mimi niko mbarali hakuna kitu cha namna hiyo
leta uzibitisho sio ushabiki na udaku
mimi niko huku hakuna kitu cha namna hiyo