Mbappe na Pele

hiyo mechi kulikuwa na tukio moja tu ??
mbona mashabiki mnakuwa watu wa hovyo hovyo...!
goli la pili alipiga chenga timu nzima hili halitasahaulika.uko sahihi lakini akifananishwa na pele kuna vitu anazidiwa.
 
Wengi wa waafrika wa jf wanamfagilia pele eti kwa sababu tu ya uafrika wake. lakini kiuhalisia ameachwa mbali sana na Diego Maradona. kitu ambacho pele amemzidi diego ni magoli mengi and makombe.pele ana mawili 1954 and 1970. na mwaka 1962 hakucheza alikuwa injured. diego ana moja na magoli yake yameenda chuo,,sio kama ya babu yenu ya kuoteaotea...
 
Hata sionagi maajabu ya huyo pele na maradona,itoshe tu kusema walikuwa bora kwa kipindi chao ila si kwa zama hizi!kwa hiyo wawe wapole wastaafu hawa wafanye mambo mengine na wakubali dunia inabadilika na zama hazirudi tena...wapumzike walime matikiti,nnachoona hapa wanaziba nafasi tu za magwiji kama Trezeguet,thuram,Nwanko kanu,Weah,Suleiman matola,lucas radebe,Quresh ufunguo nk.
 
Video zote tunazoona sasa ni 30% tu ya matukio aliyofanya uwanjani 70% yote iliyobaki hatujaona yale aliyotenda uwanjani.. Kwa uchache tu kibabu pele alikuwa bonge la player, km angezaliwa zama hizi ingekuwa hatari.
afu watu wanatutisha na ujinga wa dinho sijui messi....
 
Huu mimi nauchukulia kama utani
Mfalme wa kandanda duniani ni mmoja tu
Pele
 
Wengi wa waafrika wa jf wanamfagilia pele eti kwa sababu tu ya uafrika wake. lakini kiuhalisia ameachwa mbali sana na Diego Maradona. kitu ambacho pele amemzidi diego ni magoli mengi and makombe.pele ana mawili 1954 and 1970. na mwaka 1962 hakucheza alikuwa injured. diego ana moja na magoli yake yameenda chuo,,sio kama ya babu yenu ya kuoteaotea...
Aaah mkuu unamshusha hadhi mfalme wa soka.... 1962 alicheza mechi za group stage na akafunga goli mechi ya mexico hivyo ana medali 3 za dhahabu za world cup sio 2 kama ulivyoandika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom