Mbappe kanitekea demu wangu

Hahahah Huwa nawaambia, just kua simple tu !!

Et "Mimi sitoki na Mume wa mtu"🀣🀣.
Hawajui kuwa hakunaga singo duniani.
Mwanamke akikwambia yuko singo uongo tu analiwa na mtu asiyempenda kadhalika mwanaume singo yupo kaburini ukweli mchungu
 
YeuyeeeeeπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ

πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜
 
Mkiiangalia hiyo pua mnavuta hisia au?πŸ˜‚πŸ€£
 
Huyu hapa nimekata ujumbe nimeupunguza kidogo.View attachment 2452497
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣nimecheka walaiii hahaha .


Sasa kwakua akili zao Huwa wanaziamin ziko sahihi muda wote.

Wewe fanya Ivi... Msifiee piaa ... Aaahhh jamaa ni Mpambanaji yaaan amewabeba sana Ufaransaa daaah


Alafu mpange aje magetooo, mmezeee Sildenafil ( Viagra) 50mg lisaa limoja kabla ya kupiga mashin.


Kisha mmpelekee motoooo mpaka abadili alivyokusev,akusev My Mbappe !!!
 
Nakuletea dem mfupi akili ikukae sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…