Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,124
- 93,241
🤣🤣🤣 Usiwe serious hahah, mwenyewe nampenda midev yangu, Huwa nikivaa nachomekea, natia Koti jeupe, midevu hiyooo...Endelea kuiga iga
Utakuwa kituko.
Na Mbappe akifuga msitu utaona tutakavyomsifia[emoji39]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Na ukweli nikua, fimbo ya mbali haiuwi.Ukweli utabaki sisi tuko mburahati yeye yuko mambele huko🤣
Kabisa mkuu,yani kama huyu ndo hata haogopi kitu anampost na kuandika kila kitakachomjia akilini.Hainisumbuagi hio we unadhan wana akili hao
Manzi yangu alikua anamkubali Marioo, nilimwekea vikwazo hadi hizo story story za Marioo akaacha.Mbaya zaidi unakuta weee ni Kafupiiiiiu keusiii kama Mimi🤣🤣🤣
Hapo nampiga Vikwazo Kila Mahali, mpaka asione weusi na ufupi, aone Umuhim wangu kwake .
Maninaaaa
Na juzi nimemtumtumia 20k ya bundleHana madhara, atabaki kumshabikia kwenye picha tu kwa mb ulizomnunulia
Sanctions ni hatariii, hupumui !!!Manzi yangu alikua anamkubali Marioo, nilimwekea vikwazo hadi hizo story story za Marioo akaacha.
Kama linakukwaza kua USA tu, weka vikwazo.
Hakuna namna ndugu MtanzaniaNa ukweli nikua, fimbo ya mbali haiuwi.
Sisi ndo tunawala Sasa🤣🤣
Mfano hai sana.Ila inaumiza, nikuudumie halafu hisia upeleke kwa mwingine asiyekuhudumia! Ni sawa na kumdharau mzazi wako anayekuletea ugali kwa kumfananisha na jirani yenu tajiri asiyekuhudumia.
🤣🤣akili yako unaijuaga mwenyewe🤣🤣🤣 Usiwe serious hahah, mwenyewe nampenda midev yangu, Huwa nikivaa nachomekea, natia Koti jeupe, midevu hiyooo...
Kwa mbali unaweza sema ,huyu Daktari muhuni tu hamna Kila kitu..
Ila Kwa ukaribuuu, Mimi ndo naenda kukufanyia upasuaji, huku nimevaa Earphones nakula muzikiii 🤣🤣🤣🤣
" No bade can stop Legeeeee"
Vijinga sanaHawanaga akili hawa,siku akikutana na kasela kamefanana na mbape lazima uchapiwe.
Me nimezindua sanctions kuanzia jana na hapa hizi sikukuu atanionea kwenye bomba.Manzi yangu alikua anamkubali Marioo, nilimwekea vikwazo hadi hizo story story za Marioo akaacha.
Kama linakukwaza kua USA tu, weka vikwazo.
Alafu anapandisha nyegeee huyooo na koment zake... Ukiwa hujakaa sawa, unaweza piga punyetoYaah nili zungu flani sema usipolijua litakukera kwa koments zake😂
Demi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka kidogo nipaliweMke wangu anasumbuliwa na Mr been.kaweka profile picture View attachment 2452437
🤣🤣🤣🤣Sasa je hahaha🤣🤣akili yako unaijuaga mwenyewe
Kumbe tupo wengi[emoji3]Juzi kweny FWC ndio nilishindwa jizuia kuwa nakumkubali huyu masta.
Aiseee
Wakati anafunga goli la kwanza kipindi cha pili aise nilipata furaha na mtetemeko wa ajabu.
Itoshe kusema Mbappe ndie aliyenifanya niangalie mpira[emoji23][emoji23]
[emoji8][emoji8][emoji8]
Poa mzunguMambooo Mzungu 🤩