Mbappe kanitekea demu wangu

Mrejesho

Tangu jumatatu alivoingiwa na Mbappe Fever hatujawasiliana tena.

Simtafuti,hanitafuti ila wote tuko online

Naomba twende hivi hadi sikukuu zipite ili akina Mbappe wa hapa wanisaidie upelelezi.
 
Mbappe kamteka mpaka Hilda newton chadema , jaman mademu hawa
 
...hiyo ina maana Mbape angekuwepo bongo angejilia tena kwa kupelekewa, mvumilie sikukuu zinakaribia, akiomba chochote muambie kamuombe Mbape.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…