Mbappe kanitekea demu wangu

😂😂😂Usilolijua ni sawa na usiku wa sa tisa😂😂
Hakikaaaa namie nmeyaasema hayo nikiwa silijui ila Kwa muktadha huohuo, mdada anayekaa kwao ,daahhh hayupo huru kabisa 🤣🤣

Kumtoa out usiku au kulala nje, mpaka ajielezeee sana utadhan anafanya usahili wa Kazi
 
Kumtoa out usiku au kulala nje, mpaka ajielezeee sana utadhan anafanya usahili wa Kazi
Itabidi apangwe kuwa labda anaenda kulala kwa rafikiye wanajisomea. Wakati Niko Moscow nilikutana na mabinti wadogo club nikamuuliza mmoja kuwa hapa ulipo mzazi wako anajua kuwa upo hapa akakataa akaniambia kuwa aliwaambia kuwa anaenda kwa rafiki yake sijui kusoma sijui party. Hata Ile kulana mate hadharani hawafanyi mbele ya wazazi wao.


So na huyu itabidi atumie mbinu hii itafaulu.
 
Si shida mkuu usiwaze jamaa yupo mbali sana , potezea
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umeua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…