Mbappe kanitekea demu wangu

Huyo Mbape ameteka wanawake wengi hata sio wako tu. Nadhani ni ile good morphology aliyonayo inapagawisha wadada
Wewe wapo wenye good morphology bana sio iyo. Wao waseme wanataka Nini. Mana huyu akija dar ama bongo atakuwa Kama Ile Chris brown mademu walikuwa wanatoa $1000 ili wakutane naye tu. Sasa huyu naye akija bongo mademu na mchepuko yetu itaumwa ama itapata matatizo hapo wapate hata hela ya kumuona mbape ujue
 
Cha kufanya na wewe chukua picha ya Beyonce au mwanamke yeyote maarufu mpost na msifie kama anayofanya yeye
 
Mnakumbuka enzi za CR7? Aliondoka na kijiji.. Je Ricardo Kaka?! so haya mambo yanamuda wake.

Akimsifia Mbappe usikasirike Mkuu screenshot hizo post HIFADHI.

Ikija zamu yako ww usipost wa Mbali huko, post wa karibu anaowaona Kila siku na uwasifie.

Akianzisha Vagi, unachomoa Screenshot moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…