Mbao za kuezekea

Mbao za kuezekea

Northern Lights

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
410
Reaction score
366
sina uzoefu na masuala ya ujenzi, sasa nimefikia hatua ya kupaua nawaza mbao nzuri za kuezekea ni zipi? Nimesikia kule bugurun baadhi wanapaka cola badala ya dawa. Ntahakikishaje mbao nayonunua ni treated?
Asanteni kwa msaada. Nyumba ipo goba na nimepanga kupaua januari
 
kama unaiuza, malizana na mbao mnazi
Natumai ulitumia mchanga wa bichi kwa matofali
 
sina uzoefu na masuala ya ujenzi, sasa nimefikia hatua ya kupaua nawaza mbao nzuri za kuezekea ni zipi? Nimesikia kule bugurun baadhi wanapaka cola badala ya dawa. Ntahakikishaje mbao nayonunua ni treated?
Asanteni kwa msaada. Nyumba ipo goba na nimepanga kupaua januari
Wanakuja mkuu
 
Back
Top Bottom