Hayo macho yanayozunguka kama mshale ya saa ni yaaje hebu weka picha!!!!!
Si kama hayo ya kwako...picha haifai labda video...na nikiweka video tu jiandae kujaza piemu :becky:
Mmmmhhhhhhhhhhhh:banghead::banghead::banghead::banghead::banghead:
Umechukia? Nini mbaya?
Macho ya huyo kama ya paka