Mbagala Waula, sasa Kupewa Treni Mweeeeeeeeeee

Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,149
Points
1,250
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,149 1,250
Nchi gani hii? Yaani waafrica utafikiri tuna laana. Tunaweza kudhani ni watanzania tu wenye shida lakini unaona na weusi wengine na wenyewe ni shida tupu.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,088
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,088 2,000
Nchi gani hii? Yaani waafrica utafikiri tuna laana. Tunaweza kudhani ni watanzania tu wenye shida lakini unaona na weusi wengine na wenyewe ni shida tupu.
Ngoja nikukumbushe nyimbo ya shida mkuu Lukolo Mkuu Mbuzi Mzee

Last edited by a moderator:
Gosbertgoodluck

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
2,864
Points
0
Gosbertgoodluck

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
2,864 0
Nakumbuka sana hiyo picha. Ni Congo Kinshasa kwa Kabila.
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,495
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,495 1,250
Nchi gani hii? Yaani waafrica utafikiri tuna laana. Tunaweza kudhani ni watanzania tu wenye shida lakini unaona na weusi wengine na wenyewe ni shida tupu.
Ukiona ya India je? sio wa Africa tu
 
andate

andate

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Messages
2,654
Points
1,225
andate

andate

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2011
2,654 1,225
Nchi gani hii? Yaani waafrica utafikiri tuna laana. Tunaweza kudhani ni watanzania tu wenye shida lakini unaona na weusi wengine na wenyewe ni shida tupu.
Nadhani ni Congo
 
Mwanahisa

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
1,395
Points
1,195
Mwanahisa

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2012
1,395 1,195
Huu usafiri, ukiukosa hapa ni mpaka jumatano kama leo mwezi December!
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,854
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,854 2,000
Mbuzi Mzee, usinifanyie hivyo, mwenzako nitaporwa mke. Niko huku ukweni Mbagala, halafu nimewafungulia kwa mashamsham treni mpya atakayowaletea Mwakyembe, nyumba nzima imeninua.
 
Last edited by a moderator:
Lily Flower

Lily Flower

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2009
Messages
2,553
Points
1,195
Lily Flower

Lily Flower

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2009
2,553 1,195
Mbuzi Mzee, usinifanyie hivyo, mwenzako nitaporwa mke. Niko huku ukweni Mbagala, halafu nimewafungulia kwa mashamsham treni mpya atakayowaletea Mwakyembe, nyumba nzima imeninua.
Ha ha ha ha ha ha u made my day mbavu zangu jamani.
 
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
8,203
Points
2,000
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
8,203 2,000
Ha ha ha.. Waombe radhi wakazi wa Mbagala Mbuzi Mzee.. Japo wanajulikana mabingwa wa kupandia madaladala dirishani ila huko parefu kwao..
 
Lily Flower

Lily Flower

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2009
Messages
2,553
Points
1,195
Lily Flower

Lily Flower

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2009
2,553 1,195
sio daladala tu, hata ndege ikipita angani wanaiangalia kwa jicho la tamaaa ili waingilie madirishani
Hata kama ulikuwa usamehewe na wakwe hapo umebugi meeen, utanyaganywa mke shauri lako.

Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,854
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,854 2,000
Hata kama ulikuwa usamehewe na wakwe hapo umebugi meeen, utanyaganywa mke shauri lako.

serious??????? Mama mwenye nyumba wangu atafurahiaje? maana nilioa ili kukwepa vishawishi vya mama mwenye nyumba
 
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
8,203
Points
2,000
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
8,203 2,000
sio daladala tu, hata ndege ikipita angani wanaiangalia kwa jicho la tamaaa ili waingilie madirishani
Ha ha ha ha.. Yaani kuna mtu alinikera hapa ila baada ya kuona hii comment Mkuu Bujibuji yaani imebidi nilipuke kwa kicheko.. Duuh hii kali yaani..
 
mwaJ

mwaJ

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2007
Messages
4,076
Points
1,195
mwaJ

mwaJ

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2007
4,076 1,195
Ha ha ha ha.. Yaani kuna mtu alinikera hapa ila baada ya kuona hii comment Mkuu Bujibujiyaani imebidi nilipuke kwa kicheko.. Duuh hii kali yaani..
Bora useme wewe sosoliso! Mie nikimwambia Bujibuji anavunja mbavu zangu kwa comments zake za kihamnazo anadai NIMUWACHEE APUMUWE!
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,294,741
Members 498,025
Posts 31,186,757
Top