Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
Na sare xa chama wanavaaTatz co mwenge tatz ni mbio za mwenge kugeuka mbio za uvccm, ilo ndo tatizo kuu

Mtanzania wa kawaida anafaidika vipi na uwepo wa alama ya bibi na bwana, au bendera ya taifa, au wimbo wa taifa?
Sasa mleta mada kama thamani ya Mwenge ni kubwa kuliko pesa na mwenge umetumia tsh.billioni 220 kukimbizwa watu wanazuiwa kwenda kuuzima kwa kuokoa eti billioni 6 unataka kutuambia Mtukufu amekurupuka kuzuia sio?Wakosoaji wanadai gharama za mwenge ni kubwa sana kuliko faida zake!
Napingana nao! Kwangu Mimi mwenge wa Uhuru naona kama bado thamani yake haijawahi kupatikana! Mwenge wa Uhuru ni moja kati ya Alama tano zinazolitambulisha Taifa hili!
Ukiachana na hizo nyingine 4, ambazo tukishakubali kuiondoa hiyo moja bila shaka nazo zitaonekana kero, watakuja watu na argument zao kudai bendera ya Taifa nayo iondolewe kwakua ni gharama kuitengeneza, au alama ya bibi na bwana nayo iondolewe kwakua haipendezi labda, au watasema tu, badala ya twiga alama ya taifa iwe mamba!
Binafsi thamani ya mwenge ni zaidi ya fedha! Tunu ya Taifa hakuna mbadala! Ni utambulisho wetu, ndio sisi! Taifa halina thamani!
Tunapoamua kukataa asili yetu, tuwe makini. Tukiondoa mwenge , nini utakua mbadala yake!
Mara zote wanaposema tuuondoe mwenge ambao moja wapo ya alama za taifa, nakumbuka kauli hii ya Mwl. Nyerere akisema;
" Tunataka kuuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu,ulete Tumaini pale ambapo Hakuna matumaini, upendo mahali palipo na chuki, na heshima palipojaa dharau"
Ukisoma kauli hiyo ya Baba wa Taifa utaiona thamani halisi ya mwenge tunaouanza kuukana kama moja ya alama zinazotutambulisha!
Maendeleo ya kimagharibi na kujifanya ujuaji ndio kunakoleta hoja chochezi dhidi ya asili yetu. Ni mtu asiyejitambua pekee ndiye mwenge uwezo wa kukana hata asili yake!
Ni aibu kwa Mtanzania yeyote kuuona mwenge kama chukizo badala ya kuulinda kama moja ya utambulisho wake kama RAIA!
Ni rai yangu kuangalia namna ya kuboresha mbio za mwenge badala ya kuiondoa kabisa alama hii muhimu kwa Taifa letu!
Mtanzania wa kawaida anafaidika namna gani kimantiki?
Ubarikiwe sana mkuu, umenena mazito sana!Namuunga mkono mleta mada , wengi tumekuwa tukihoji gharama zinazotumika lakini tumekuwa hatuoni ujumbe wa amani , mshikamano na umoja unaopatikana ndani ya ukimbizwaji mwenge huo.. lengo hasa la kuwapo kwa mwenge ni uhamasishaji wa kulinda amani na kueneza upendo miongoni mwa zaidi ya makabila 120 kote nchini kwa kuwaleta pamoja kwa lengo la kudumisha na kuendeleza amani na mshikamano ni moja ya shughuli za mwenge ,, ikumbukwe amani ina gharama yake bila ya amani hakuna maendeleo yoyote yatakayopatikana .. kinachohitajika kuangaliwa ni kupanga njia bora yenye gharama ndogo na sio kuufuta au kuuweka mahali , kupanga ni kuchagua
Sidhani kama kuna mbadala wa identity ya MTU! Ila waafrika tayari tuna hiyo sifa ya kukana asili yetu. Wanawake wetu ni mfano mzuri sana namna wanavyojichubua ili kupata weupe! Unaweza ukajiona mwerevu kumbe ni mji.nga wa mwisho!Kwa umri wako Stroke sishangai ukiendelea kulazimisha mwenge uendelee kuzungushwa nchini kwa gharama za walipa kodi. Nadhani tukubaliane tu kwa hoja, walio wengi hawasemi mwenge usiwepo, bali usikimbizwe nchi nzima kama inavyofanyika sasa kwani ni jambo lililopitwa na wakati, hivyo wengi wanashauri uwekwe tu makumbusho kutokana na mahitaji ya wakati. Utakuwa ni wenda wazimu kuendelea kukimbiza kitu mwaka mzima kwenye ulimwengu wa sayansi na technologia ambapo tungeweza kupashana habari za maendeleo kupitia technology na sio hiyo mbinu ya analogia kupashana habari za maendeleo nchini.
Tafsiri na mitazamo ya wakati ule mingi ilienda na wakati ule inakuwaje huu mwenge uendelee leo, huoni sisi wengine tunapata shaka kwamba nchi inaendeshwa kishirikina kwa ajili ya jambo hilo. Basi hata kama ina ulazima ni bora tungeukimbiza nchi nzima kila baada ya miaka mitano, wakati tunaenda kwenye uchaguzi ili chama kilichoko madarakani kitumie mbio hizo kutoa ufafanuzi wa utekelezaji wa ilani yake na sio kukimbiza kila mwaka tena na watu wa chama kimoja huku watumishi wa umma wakilazimishwa kushiriki. Kama unadhani huo mwenge ni kitu bora sana na hauna haja ya kubadilishwa utaratibu, mbona Azimio la Arusha lilikuwa na maudhui bora kabisa lakini lilibadilishwa na Azimio la Znz na leo hii imekuwa ndio chanzo cha uzalishaji wa majibu? Tafakari chukua hatua.
Sidhani kama kuna mbadala wa identity ya MTU! Ila waafrika tayari tuna hiyo sifa ya kukana asili yetu. Wanawake wetu ni mfano mzuri sana namna wanavyojichubua ili kupata weupe! Unaweza ukajiona mwerevu kumbe ni mji.nga wa mwisho!
Ukishajitambua utaona faida yake!
Mkuu, wewe unaweza kututhibitishia kwamba sio sehemu ya hiyo 60%? acha utoto.we mtoto wa juzi unajua siri ya mwenge?
ukiijua siri, utajua pia kwanini % 60 ya watz ni wajinga nawe ukiwemo, ni asilimia 40 tu. wanajitambua kwa mujibu wa takwimu za NEC chini ya Lubuva
Wakosoaji wanadai gharama za mwenge ni kubwa sana kuliko faida zake!
Napingana nao! Kwangu Mimi mwenge wa Uhuru naona kama bado thamani yake haijawahi kupatikana! Mwenge wa Uhuru ni moja kati ya Alama tano zinazolitambulisha Taifa hili!
Ukiachana na hizo nyingine 4, ambazo tukishakubali kuiondoa hiyo moja bila shaka nazo zitaonekana kero, watakuja watu na argument zao kudai bendera ya Taifa nayo iondolewe kwakua ni gharama kuitengeneza, au alama ya bibi na bwana nayo iondolewe kwakua haipendezi labda, au watasema tu, badala ya twiga alama ya taifa iwe mamba!
Binafsi thamani ya mwenge ni zaidi ya fedha! Tunu ya Taifa hakuna mbadala! Ni utambulisho wetu, ndio sisi! Taifa halina thamani!
Tunapoamua kukataa asili yetu, tuwe makini. Tukiondoa mwenge , nini utakua mbadala yake!
Mara zote wanaposema tuuondoe mwenge ambao moja wapo ya alama za taifa, nakumbuka kauli hii ya Mwl. Nyerere akisema;
" Tunataka kuuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu,ulete Tumaini pale ambapo Hakuna matumaini, upendo mahali palipo na chuki, na heshima palipojaa dharau"
Ukisoma kauli hiyo ya Baba wa Taifa utaiona thamani halisi ya mwenge tunaouanza kuukana kama moja ya alama zinazotutambulisha!
Maendeleo ya kimagharibi na kujifanya ujuaji ndio kunakoleta hoja chochezi dhidi ya asili yetu. Ni mtu asiyejitambua pekee ndiye mwenge uwezo wa kukana hata asili yake!
Ni aibu kwa Mtanzania yeyote kuuona mwenge kama chukizo badala ya kuulinda kama moja ya utambulisho wake kama RAIA!
Ni rai yangu kuangalia namna ya kuboresha mbio za mwenge badala ya kuiondoa kabisa alama hii muhimu kwa Taifa letu!
gharama ndio nikubwa na mi nasapot upigwe tu chini kuhusu alama ya taifa si shida ujengewe jengo ukae apo kwan uki wekwa ndani unapoteza hadhi ya kua alama ya taifa?? then shughuli za kuzindua miradi ambayo ndo kaz kubwa ya mwenge ilatibiwe na kila mkoa cku ya kufunga wawakilishi kazaa kila mkoa wana enda kuu washa na kuuzima sherehe ikiishaWakosoaji wanadai gharama za mwenge ni kubwa sana kuliko faida zake!
Napingana nao! Kwangu Mimi mwenge wa Uhuru naona kama bado thamani yake haijawahi kupatikana! Mwenge wa Uhuru ni moja kati ya Alama tano zinazolitambulisha Taifa hili!
Ukiachana na hizo nyingine 4, ambazo tukishakubali kuiondoa hiyo moja bila shaka nazo zitaonekana kero, watakuja watu na argument zao kudai bendera ya Taifa nayo iondolewe kwakua ni gharama kuitengeneza, au alama ya bibi na bwana nayo iondolewe kwakua haipendezi labda, au watasema tu, badala ya twiga alama ya taifa iwe mamba!
Binafsi thamani ya mwenge ni zaidi ya fedha! Tunu ya Taifa hakuna mbadala! Ni utambulisho wetu, ndio sisi! Taifa halina thamani!
Tunapoamua kukataa asili yetu, tuwe makini. Tukiondoa mwenge , nini utakua mbadala yake!
Mara zote wanaposema tuuondoe mwenge ambao moja wapo ya alama za taifa, nakumbuka kauli hii ya Mwl. Nyerere akisema;
" Tunataka kuuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu,ulete Tumaini pale ambapo Hakuna matumaini, upendo mahali palipo na chuki, na heshima palipojaa dharau"
Ukisoma kauli hiyo ya Baba wa Taifa utaiona thamani halisi ya mwenge tunaouanza kuukana kama moja ya alama zinazotutambulisha!
Maendeleo ya kimagharibi na kujifanya ujuaji ndio kunakoleta hoja chochezi dhidi ya asili yetu. Ni mtu asiyejitambua pekee ndiye mwenge uwezo wa kukana hata asili yake!
Ni aibu kwa Mtanzania yeyote kuuona mwenge kama chukizo badala ya kuulinda kama moja ya utambulisho wake kama RAIA!
Ni rai yangu kuangalia namna ya kuboresha mbio za mwenge badala ya kuiondoa kabisa alama hii muhimu kwa Taifa letu!
Kwa staili hii! Kuna mtu miaka mia ijayo! Atafanikiwa kuwa rais kwa kuahidi kurudisha mwenge wa Uhuru!gharama ndio nikubwa na mi nasapot upigwe tu chini kuhusu alama ya taifa si shida ujengewe jengo ukae apo kwan uki wekwa ndani unapoteza hadhi ya kua alama ya taifa?? then shughuli za kuzindua miradi ambayo ndo kaz kubwa ya mwenge ilatibiwe na kila mkoa cku ya kufunga wawakilishi kazaa kila mkoa wana enda kuu washa na kuuzima sherehe ikiisha