Wandiba alitesa sana mitaa ya Upanga tulivyokuwa wadogo.Mbabe toka manzese hyo ila aliyakanyaga kwa wachina
Alafu kulikuwa na mbabe mmoja anaitwa wandiba
Kulikuwa na mbabe mmja anaitwa juma ndedere
Kulikuwa na mbabe mmoja alikuwepo pia enzi hzo anaitwa stiba Dah Umenikumbusha longtime watu Hawa
Ova
Ayubu mpuz tu miguvu yote ile Unga umemmaliza ila naye aliyakanyaga kwa mshikaji mmja anaitwa Razak alichezea
Ila ukoo wao wote Wana miguvu wale
Nature
Mzee wao alikuwa anaisimamia msikiti wa sinza pale mahali fulani kna siku ilitokea ngumi ikabidi mzee amuite damme ayubu kuwapa tag ilikuwa shida
Unga tu umemaliza jamaa
Ova
Unamkumbka kamsopi alikuwa ndy mtukutu wa upanga[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wandiba alitesa sana mitaa ya Upanga tulivyokuwa wadogo.
Mangombe kbaji ila dah kuna siku nlimuonaaa yuko kwenye ndingaaa akanisalimiaaaa kwa makelele mwanangu ntafuteeeee ahhh nkasema hyu si alikuwa jelaHivi mang'ombe ,Sule , wako wapi hawa
Mkuuu mbona unaonekana unawajua hao wote..hebu jitaje tu kwa faida ya wengi wewe ni MBABE NANI?? ulikua maarufu kwa jina gani??Mangombe kbaji ila dah kuna siku nlimuonaaa yuko kwenye ndingaaa akanisalimiaaaa kwa makelele mwanangu ntafuteeeee ahhh nkasema hyu si alikuwa jela
Alikuwa anapatikana sinza mori
Ila yule mwizi kitambooo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Kama IP MANSantana alimkimbiaga sensei mawalla [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sensei sjui yko wapi Dah alikuwa kibonge lkn yko fit alikuwa anapiga style za Steven segal
Ova
Hamna lolote misele tu unakutana na visanga vya mjiniMkuuu mbona unaonekana unawajua hao wote..hebu jitaje tu kwa faida ya wengi wewe ni MBABE NANI?? ulikua maarufu kwa jina gani??
Pamoja sana mkuuHamna lolote misele tu unakutana na visanga vya mjini
Ova
Kila nyakati na kitabu chake.vijana wa siku hizi(millennials), wanashinda gym kufanya mazoezi ili wawe na vifua vipana vya kuvutia wasichana kimapenzi.
enzi zetu vifua vipana vilikuwa vinaendana na utemi, ubabe sambamba na kuwa mtu wa msimamo thabiti.
Ilikuwa ni mitaa ya Mabwepande Mkuu.Mbabe Bob chura mbavu nene
Ila kuna Tukio moja la kwenda wanamia kuwahamisha wa kazi miaka fulani ilikuwa Bunju kama skosei jamaa anayedai mwenye eneo na kampuni ya udalali waliwakusanya wababe na mabaunsa wakaenda hko ila walichokutana nacho hko walupigwa wengine walipoteza maisha
Chura ponapona yake walimgonga vunjavunja tangu siku hyo akawa dhaifu.....
Ukikutana naye anakwambia mjombaa ubabe usimfanyie raiaa
Raiaa hafai
Ova
Damme mbabe sana na ule mwili alikuwa akitaka kitu unatoa mwenyewe.Ayubu mpuz tu miguvu yote ile Unga umemmaliza ila naye aliyakanyaga kwa mshikaji mmja anaitwa Razak alichezea
Ila ukoo wao wote Wana miguvu wale
Nature
Mzee wao alikuwa anaisimamia msikiti wa sinza pale mahali fulani kna siku ilitokea ngumi ikabidi mzee amuite damme ayubu kuwapa tag ilikuwa shida
Unga tu umemaliza jamaa
Ova
Sahv washamlegeza si unajua ukingia 18 za raiaDamme mbabe sana na ule mwili alikuwa akitaka kitu unatoa mwenyewe.
Nakumbuka kuna siku alipita pale Sinza bodaboda na madereva tax kila mtu alikimbilia njia yake sijui walimzingua nini.Sahv washamlegeza si unajua ukingia 18 za raia
Ova
Duh lini hyooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka kuna siku alipita pale Sinza bodaboda na madereva tax kila mtu alikimbilia njia yake sijui walimzingua nini.
Mdogo wa mangombe alikuwa anaitwa mwambuzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi mang'ombe ,Sule , wako wapi hawa