Mbabazi: Uganda inahitaji ''Magufuli'' wake

Mbabazi: Uganda inahitaji ''Magufuli'' wake

Sio lazima kila anayemsifia dikteta atakuwa hamjui na siyo kila asiyemfia dikteta atakuwa anamjua.

Hiyo logical consistency unaitumia kwa kutumia kigezo gani kwa sababu siyo kila logical consistency is truth substance or common sense.
Dikteta ni nani?
 
mawazo yako yanaweza kua sawa au yasiwe sawa inategemea unamlinganisha na nani kwa viongozi wa kiafrika magufuri ni tofauti na viongoz wengi wa afrika so kwa afrika sidhani kama yupo overrated naona wako sawa
sipendi kukupinga moja kwa moja ila naomba utuambie unaposema magufuli yuko overreted ukiwa unamlinganisha na nani ?
Kwa nini una ji limit na Afrika?
 
To the contrary.

Zero tolerance, dominant intelligence.

Always crafting for critiquing systemic ills for betterment.

How could that be negative?

Ever had a role model in your life??
Yes/No?
Who??
Why??
Perfectionist like you??
 
Kwa nini una ji limit na Afrika?

kwa sababu wote tuna mazingira yanayoshabihiana siez fananisha na EUROPE wakati wale wapo mbali sana kimaendeleo so nachukulia mfano wa afrika kwani sisi sote almost matatizo yetu yanafanana na pia viongoz tunaowahitaji ni wale wenye uzalendo na pia wenye kujiamini..
kwann tunahitaji viongoz wazalendo kwa sababu katiba zetu hazina makucha ya kumuadhibu mtawala ndio maana tunataka viongoz watakao kua self committed ambao hatuhitaji katiba kumuadhibu kwani atakua anafanya kazi kwa uzalendo wake ..
kwann tunahitaji mtu anaejiamini kwa sababu ya kuvunja unyonywaji wetu kutoka kwa mabeberu na kusimamia rasilimali zetu

tofauti na europe ambako wao katiba zao zinauwezo wa kumwadhibu mtawala so lazima tuu atafuataabmatakwa ya wananchi
 
katika vitu ambavyo ni vibaya duniani ni roho ya unafiki na roho ya kwa nini na kama unayo huwezi ona jema kwa mwenzako na kama ww ni mpinzani kama mm nadhani kama huna roho ya inda utamkubali Magufuli japo hata kwa asilimia 50 kwa maana kaanza kushughulikilia vitu vinavyoonekana leo unamtaka lowasa yuko ndani ya chadema na anajenga chama ndani ya siku mia moja kakifanyia nn chama baada ya uchaguzi tusiwe wanafiki pia ww mwenyewe unaye lala mika umekifanyia nn chama chako
 
kwa sababu wote tuna mazingira yanayoshabihiana siez fananisha na EUROPE wakati wale wapo mbali sana kimaendeleo so nachukulia mfano wa afrika kwani sisi sote almost matatizo yetu yanafanana na pia viongoz tunaowahitaji ni wale wenye uzalendo na pia wenye kujiamini..
kwann tunahitaji viongoz wazalendo kwa sababu katiba zetu hazina makucha ya kumuadhibu mtawala ndio maana tunataka viongoz watakao kua self committed ambao hatuhitaji katiba kumuadhibu kwani atakua anafanya kazi kwa uzalendo wake ..
kwann tunahitaji mtu anaejiamini kwa sababu ya kuvunja unyonywaji wetu kutoka kwa mabeberu na kusimamia rasilimali zetu

tofauti na europe ambako wao katiba zao zinauwezo wa kumwadhibu mtawala so lazima tuu atafuataabmatakwa ya wananchi
Ukijilinganisha na watu walioshindwa, unaweza kujiona umeweza hata kama umeshindwa.

Ndiyo maana watu kama Kagame na Magufuli wanasifiwa Afrika.

Kwa sababu wanalinganishwa na Idi Amin na Yahya Jammeh.
 
Ukijilinganisha na watu walioshindwa, unaweza kujiona umeweza hata kama umeshindwa.

Ndiyo maana watu kama Kagame na Magufuli wanasifiwa Afrika.

Kwa sababu wanalinganishwa na Idi Amin na Yahya Jammeh.

uko sawa kabisa
 
Of course.

That is why any tepid tadpole with tacky terror is touted.
Taratibu ndg. Kiranga sisi wengine ni wa Kayumba school na dictionary zetu zipo mbali🙂🙂.
 
Swali ni kwamba ni kwa nini unafikiri yuko hivyo ulivyoita overrated?
Kwa sababu hajaonyesha consistency kati ya maneno na matendo yake.

Kwa sababu amekiuka misingi ya utawala bora inayomtaka asiingilie bunge na mahakama.

Kwa sababu haambiliki.

Kwa sababu ana pupa.

Kwa sababu mjivuni.

Kwa sababu hana busara.

Lwa sababu ni dikteta.

Kwa sababu hana mpango wenye wigo mkubwa.

Kwa sababu hajui kuongea.

Kwa sababu hajui wapi aweke l na wapi aweke r katika Kiswahili.

Kwa sababu anavaa suti zilizomzidi kimo.

Kwa sababu amesema Saddam alikuwa rais wa Kuwait.
 
Kwa sababu hajaonyesha consistency kati ya maneno na matendo yake.

Kwa sababu amekiuka misingi ya utawala bira inayomtaka asiingilie bunge na mahakama.

Umesahau ile definition uliyompa siku ile
ilikuwa inafit best
'country bumpkin who think he has arrived and believe God has asked him to change the nation'
i wonder kama nime quote right
 
Umesahau ile definition uliyompa siku ile
ilikuwa inafit best
'country bumpkin who think he has arrived and believe God has asked him to change the nation'
i wonder kama nime quote right
Hahaha, something along those lines.

Heshi kumu invoke mungu, typical snakes oil salesman style.
 
Kwa sababu hajaonyesha consistency kati ya maneno na matendo yake.

Kwa sababu amekiuka misingi ya utawala bira inayomtaka asiingilie bunge na mahakama.

Kwa sababu haambiliki.

Kwa sababu ana pupa.

Kwa sababu mjivuni.

Kwa sababu hana busara.

Lwa sababu ni dikteta.

Kwa sababu hajui kuongea.

Kwa sababu hajui wapi aweke l na wapi aweke r katika Kiswahili.

Kwa sababu anavaa suti zilizomzidi kimo.

Kwa sababu amesema Safdam alikuwa rais wa Kuwait.

Tuseme labda uko sawa lkn swali langu ni kwamba ni kwa nini wote au wengi wanafikiri kwamba ni Raisi bora hasa nje ya mipaka ya Tanzania? Kwa maana siyo mara ya kwanza kusikia watu wa nje ya Tanzania wakitamani kuwa na Raisi kama Magufuli na wengi wanamtumia kwenye Kampeni zao kuanzia Zambia, Malawi, Ghana mpaka Afrika Kusini kuna article nimesoma wakimtaka J. Zuma ajifunze ktk kwa Raisi Magufuli tena niliona wanafunzi wameshika poster wakiandamana AK na na jina la Raisi Maguguli sasa Je ni kwa nini? Labda kuna kitu wewe unakiona kumhusu Raisi Magufuli ambacho wengi wetu ndani na nje ya Tanzania hatukioni?

Kwa sababu kama ni akina Sadamu Husein au Gadafi au dikteta yoyote yule sijawahi kusikia akisifiwa kwa utendaji kama Magufuli!
 
Back
Top Bottom