Mbabazi: Uganda inahitaji ''Magufuli'' wake

Combative

Member
Apr 19, 2014
58
103
MBABAZI : UGANDA INAHITAJI “MAGUFULI” WAKE

Akiongea katika ndahalo wa wagombea urais nchini Uganda, mgombea wa Chama cha The Democratic Alliance (TDA), Waziri Mkuu wa zamani Amama Mbabazi amesema kuwa kwa sasa Uganda inahitaji Rais kama Dk. John Pombe Magufuli wa Tanzania.

Alipopewa muda wa kueleza maneno yake ya mwisho katika mdahalo huo uliofanyika usiku wa Jumamosi na kuhudhuriwa na wagombea nane, Amama Mbabazi alisema “Sio suala la upinzani kushika madaraka bali ni kuhusu kumpata mtu sahihi kwa ajili ya Uganda mpya. Tuna bahati kuwa hapa nchi jirani na sisi kuna mtu anaitwa JPM, yaani John Pombe Magufuli wa Tanzania.

Hivi sasa Uganda inahitaji mtu kama Magufuli ambaye ameonyesha wazi kwa matendo kuwa ataipeleka mbali Tanzania,Ni Rais anaonekana mzalendo sana.

Huku Rais anauyemaliza muda wake, Yoweri Museveni akisikiliza kwa makini, Mbabazi alisema “Sielewi ni kwanini Waganda tunakuwa wazito kujifunza kutoka madarakani. Ni lazima tufanye mabadiliko ili tuachane na mawazo mgando.”
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    129.9 KB · Views: 38
Ila safi sana Magufuli, Mungu akujalie ufike mbali, kama umefika wakati watu wakaanza kukutolea reference, naamini umefuata nyayo za Nyerere japo bado hujamfikia
 
Magufuli is overrated by those who do not know him but are overeager for any change.
Looking at things from another perspective it's just a sign that our continent is just full of selfish/irresponsible leaders.
 
Magufuli is overrated by those who do not know him but are overeager for any change.
Wewe unafahamu vipi kuwa hawamjui Rais Magufuli au unatumia kigezo gani kujua kama unamjua Rais Magufuli ambacho unajua wao hawakitumii?
 
Wewe unafahamu vipi kuwa hawamjui Rais Magufuli au unatumia kigezo gani kujua kama unamjua Rais Magufuli ambacho unajua wao hawakitumii?
Kwa sababu wanamfanya dikteta asiyejua kujipanga wala kuongea kama mfano wa kuigwa.

Katika nchi iliyoharibiwa na dikteta mpaka tukaisaidia kumtoa.
 
Kwa sababu wanamfanya dikteta asiyejua kujipanga wala kuongea kama mfano wa kuigwa.

Katika nchi iliyoharibiwa na dikteta mpaka tukaisaidia kumtoa.
Vipimo gani unatumia ambavyo vinatambuliwa kimataifa ambavyo wewe unatumia kumpima Rais Magufuli kama hajui kuongea au kujipanga?

Comment yako ya kwanza ilikuwa inawahusu wale wote wanaotoa sifa kwa Rais Magufuli. Kwa maana kwamba kuanzia Tanzania mpaka pembe zingine za dunia wanaotoa sifa na umedai wanatoa sifa kwa sababu hawamjui Rais Magufuli. Haikuishia tu kwa Waganda.
 
Yeyote anayemsifia dikteta hamjui.

Atamjua siku atakapompora mke wake au kufunga akaunti yake ya benki.

Vipimo ninavyotumia ni logical consistency and phonetic butchering of a language.

The former is on substance, the latter is on form. He fails on both counts.
 
Tatizo la Uganga hawajawahi kushuhudia Rais mmoja akitoka madarakani kwa amani. Wote hutoka kwa nguvu au bunduki. Hakuna aliyewahi kumkabidhi mwenzie baada ya uchaguzi hata kama ni wa chama hicho hicho.

Museveni anapoteza nafasi hiyo ya kihistoria kwa Uganda.
 
Magufuli is overrated by those who do not know him but are overeager for any change.

They are looking at that positive side of him and thatz all they want, Magufuli of their own. The moment you heard it your mind took you to the negative side of the man and that tells how u're mind is dominated by negativities!!
 
Yeyote anayemsifia dikteta hamjui.
Sio lazima kila anayemsifia dikteta atakuwa hamjui na siyo kila asiyemfia dikteta atakuwa anamjua.
Vipimo ninavyotumia ni logical consistency and phonetic butchering of a language.

The former is on substance, the latter is on form. He fails on both counts.
Hiyo logical consistency unaitumia kwa kutumia kigezo gani kwa sababu siyo kila logical consistency is truth substance or common sense.
 
They are looking at that positive side of him and thatz all they want, Magufuli of their own. The moment you heard it your mind took you to the negative side of the man and that tells how u're mind is dominated by negativities!!
To the contrary.

Zero tolerance, dominant intelligence.

Always crafting for critiquing systemic ills for betterment.

How could that be negative?
 
Magufuli is overrated by those who do not know him but are overeager for any change.

mawazo yako yanaweza kua sawa au yasiwe sawa inategemea unamlinganisha na nani kwa viongozi wa kiafrika magufuri ni tofauti na viongoz wengi wa afrika so kwa afrika sidhani kama yupo overrated naona wako sawa
sipendi kukupinga moja kwa moja ila naomba utuambie unaposema magufuli yuko overreted ukiwa unamlinganisha na nani ?
 
Back
Top Bottom