Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,182
UNA UHAKIKA?tatizo hana qualifications za kula nondo za pale udbs.
UNA UHAKIKA?tatizo hana qualifications za kula nondo za pale udbs.
tatizo hana qualifications za kula nondo za pale udbs.
UNA UHAKIKA?
SAMAHANI MKUU,Mkuu acha dharau, unayajua matokeo yangu tangu sekondari hadi chuo kikuu? Unajua nafanya nini hadi unahitimisha kijinga hivyo? Kwa taarifa yako, naweza kusoma chuo chochote hapa bongo
SAMAHANI MKUU,
KWANI WAISHI MOSHI?
Sasa wew uliyesoma UDSM umelusaidia taifa nini zaidi kujiona tu.wewe unaejua kuongea umelisaidiaje taifa?unadhani maendeleo yanaletwa kwa kubwabwaja?
mkuu, achana na hivyo vya KATA. ukitaka kupata elimu bora ya MBA nenda SUA mkuu.Wakuu, naombeni ushauri nataka nisome MBA ya hiko chuo cha Moshi vipi kuhusu ubora wa hiki chuo, na credibility yake?
mkuu, achana na hivyo vyuo vya KATA. ukitaka kupata elimu bora ya MBA nenda SUA mkuu.
Hiyo n styl y kuandka tuu.... Ww ulitaka niandke kama naandika disertation!!!??? Ths is communicatn languag... No neccesity y kuandka formal lg....Wewe ndio wa mchangani naona hata haupo updated. Muccobs hatunayo tena.
Mwenge ni chuo kizuri sana acha kukariri.