MB au data zinatengenezwa wapi?

Naelezea kwa namna nyengine

Internet inafanya kazi kwa mechanism mbili downloading na uploading.

Kuna policies wameziconfigure kwenye vifaa vya mtandao mfano IN (intelligent node) labda mtu akilipa 2000 apewe ruhusa ya kutumia infrastructure kwa siku 7 kwa MB 1000, hii inamaana utaruhusiwa kudownload na kuupload MB1000 ndani ya siku 7

Hivyo MB za kwenye internet ni ruhusa tu ya wewe kutumia infrastructure au miundombinu ya mtandao muda wako ukiisha wanakudisconect
 

Attachments

  • Screenshot_20240610-163849_Chrome.jpg
    99.9 KB · Views: 14
Asante sana.nimekuelewa vyema.
 
Thank you!
 
Mkuu shukrani, sina uelewa mzuri wa hii sekta, ila jibu lako limeniridhisha kabisa.
 
Kaswali kangu kadogo tu nisaidie mimi wa kL

Sasa kwanini kawa tunapimiwa kwa muda zinawahi kukata kabla hata ya muda haujafika? Mfano tunajiunga mbs za wiki kwa siku mara tano
 
huyo jamaaa anajiiita @CCNP Enginee hii battle ilikuwa atari
 
Mkuu naomba elezea kwa lugha rahisi wengi tuelewe ISP ni aina gani kampuni gani na capacity seacon ni nini na gharama zake ni shikingi ngapi
Mmmmmm una mtaji kiasi gani ? Zatakiwa labda kea uchache 100m TZS...kuanzia....labda ungefikiria kitu kimgine.....ĺeseñi tCRA kuuza bundle kwa sim card based solution ni Bil 4 kwa miaka 5 ya leseni yako kama sijakosea....unapata leseni ya Telco kuuza sim card ......bundle zako pia uwe minara yako kusambana network yako......la sivyo pia unaweza kuuza bundle majumbani kwa fiber au wireless....devices gharama kubwa .....
 
Hahaha nitakucheck unipe hiyo Hela ya maji mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…