Mazuri ya mahusiano/ndoa

Napenda flirting with my man,talking dirty mana ni yeye tu naweza ongea nae ,playing and doing stupid things,roaming around town usiku,going out,kupunguziana stress when i have a hard day nk..flaws and all,mapenzi mazuri jamani,hata kama tunadanganyana there are men u never regret to meet...and life is wonderful with them....and lately sijielewiii,ts like am falling for sm1 hadi naogopa..
 
wow then thats good of you and i dare say congratulations for that, but on the red color it seems like you have taken my curiousity as an offence or something embarassing you,if thats it then am sorry though i realy was just being curios Nyani Ngabu.

I'm neither miffed nor mortified. So let not your heart be troubled.
 
Omg Mbona kama tunafanana hobbies ?
 

Halafu wewe, hulali mpaka shurti unitaje, wanitakiani mwana wa mwenzio?
 
Mie nikipendwa tu karoho kangu kwatuuuuu... small things vinavyofanya nihisi mtu ananijali. I always enjoy his goodbye kiss on my forehead before he leaves for work hata kama nikiwa usingizini nikishtuka nikai feel nafurahi
 


Kikubwa ni ile hali ya kujaliana katika vipindi vigumu na nyakati za furaha pia.
shout out to ma girl, japo mikwaruzo ipo ila she real care. God bless her
 
Halafu wewe, hulali mpaka shurti unitaje, wanitakiani mwana wa mwenzio?

Si jingine, ni huba tu Zinduna mahabuba
Uadimikapo, nahemuka

Umerudi, n'mefurahi
Kazi kwao wazushi na vidughushi

N'chombeze n'chombezeke, bebi'ake na mie
Fukufuku tuwakere, haswa wakereke

Raha zako n'nazipenda
Tele afya zanipa

Na pale n'zikosapo, hukonda kama unywele
Aaah, nliwaze mie

N'chombeze kwa muala
Aaah n'jae zangu raha
 
Mtoa mada sijaona aliyeeleza faida walau mbili au tatu za ndoa kwa ufupi ndoa kama ndoa mazuri yake hayaelezeki kwa sababu ni kama wajibu wala si kama hisani kutimiza majukumu kwenye ndoa na ndo maana watu wengi huzungumzia zaidi matatizo au mapungufu ya ndoa! Faida pekee ya ndoa ni kuendeleza kizazi au taifa, bila ndoa ukoo au taifa litaisha, wakati mwingine ndoa hupunguza upweke kama upendo wa dhati upo, heshima mbele ya jamii mf mama flan au baba flani, ndoa huleta amani na maisha flan hivi ya kutojiachia achia ovyo, ukitaka kujua ndoa ni ya thamani wale wenye ndoa mwenza anaposafiri au kuhamishwa kikazi au anaumwa au kutengana au kufariki ndo utaona balaa la nyumba! Ndoa na zidumu na ziheshimiwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…