Mazuri ya mahusiano/ndoa

Hii mada imetulia sana, ngoja nitulie nami nipate mawili matatu hapa kabla sijachangia.
 

umenena vema ila hapo red konnie kuna vitu hata uvitazame kwa jicho la tatu huwezi kubadilisha uhalisia wake. halafu mbona umetunyima kutuambia mazuri ya baba naniliu? mazuri tu tafwazali, matatizo yake baki nayo mwenyewe. lol
 

amen!! inaleta faraja sana, kuwa na mtu wa kulala na kuamka pamoja. kushirikiana kwa kila jambo. hongera mkuu.
 
Husninyo j3 yote hii unaleta thread ngumu namna hii.......orait........ngoja nichekeche.......will be back after a short brake..........

chekecha dear, mi siamini kama mahusiano ni mabaya kiasi hicho. angalau tuwape moyo waliokata tamaa ya kupenda tena.
 
Kwanza raha ya ndoa

gegedo bila nafsi kukusuta, uwiii mnaruhusiwa hata kuanza kwa sala, na biblia ikiwa mchagoni kabisa, si mnasisitizwa hata chachi mpeane, na msinyimane. Hii huleta matipo ogazimu:A S 13:


Mtu wa kuashaurian nake without holding back, sio unawaza sijui nikisema ataenda kutangaza??


Kama kuna security hivi, yaani unajiachia tu. Mtu wa kukucare si yupo bana, kwa nini uwaze kuwa na vi-insurance? Yale mapocho pocho ya mabusu, ujue hata busu la ndoani limeungwa? Hulipati chuku chuku la haraka haraka tu, yaani hili mtu analiwazia tokea asubuhi, jinsi gani aliongezee tashtiti ta tashtati.


Mazuri ya mwenza halali ni meengi mno, labda awe alishabab sana. Na akiwa alshabab ruksa kuondoka, heri nusu shari kuliko shari kamili.

umenena vema ila hapo red konnie kuna vitu hata uvitazame kwa jicho la tatu huwezi kubadilisha uhalisia wake. halafu mbona umetunyima kutuambia mazuri ya baba naniliu? mazuri tu tafwazali, matatizo yake baki nayo mwenyewe. lol
 
Ndoa nyingi ni tamu sana ...malalamiko ni sababu binadamu tumezoea mno kulalamika...ni hulka tu...ndo maana kuna matajiri bongo ukikutana nao wanakwambia 'maisha magumu'...ni mazoea tu ya kulalamika

ila binadamu kwa kulalamika sie. nafikiri hao matajiri wanajihami na mizinga.
 
I can see, umeamka kutoka upande sahihi wa kitanda.

ila nimeamka mwenyewe jamani. halafu mbona piem yako ipo klozd. umbea unachacha ujue kama maziwa mgando.
 
Last edited by a moderator:

loh umemaliza kila kitu maana unakuwa huru tena huru kweli kweli kwa kila kitu.
 
Husninyo ungeanza kutupa kwanza ezperience yako.....what do/did you enjoy most? What were the positives? Kipi ambacho hutokisahau...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…