Mazuri na mabaya ya damu group O

Hivi inawezekana mtoto mmoja kati ya watano akawa na kundi O huku wazazi na watoto wengine wanne wakawa na kundi la damu tofauti?
Ndiyo, inawezekana kabisa mtoto mmoja akawa na kundi la damu O huku wazazi na watoto wengine wanne wakiwa na makundi tofauti. Hali hii hutokea kiasili na inafafanuliwa kisayansi kupitia mfumo wa urithi wa vinasaba (genetics).
 
Mkuu mimi pia ni O+ ila naona mambo hayaendi
 
Mkuu mimi pia ni O+ ila naona mambo hayaendi
Pole sana kwa nyakati hizi ngumu unazopitia. Ni jambo la kawaida kabisa kujisikia vibaya, kukata tamaa, au kuona kama kila kitu kimesimama pale mambo yanapokataa kwenda kama ulivyopanga, bila kujali kundi lako la damu.

Kuna mtazamo wa kitamaduni au imani za mitaani zinazohusisha kundi la damu O+ na tabia kama kuwa na bahati, nguvu nyingi, au mafanikio ya haraka. .

Hata hivyo, kibaolojia, kundi la damu linaamua tu aina ya protini zilizo kwenye seli zako za damu na halina uhusiano wowote na hatari, bahati, au jinsi maisha yako yanavyoenda kifedha na kibinafsi.Kila mtu, bila kujali kundi lake la damu, hukutana na vipindi vya changamoto ambapo inaonekana milango yote imefungwa.

Mara nyingi, mambo yanapokwama, suluhisho haliko kwenye damu yetu bali kwenye mifumo ya maisha, mikakati, au mazingira yanayotuzunguka.
 
Ahsante mkuu
 
Halafu mkuu kuna uhusiano wa group O na introvert?
 
Kuna uhusiano wowote wa group za damu na tabia za watu:Senguine,Nk,Nk?
 
Sio kweli , ulisoma shule gani mkuu tukadai ada
wewe mtu mwalimu wako alikuwa na shida sana mimi nimesema nasikia na sio nilisoma! Mambo ya kudai ada wewe ndo tunahaji kuifata coz huelewi maneno
 
wewe mtu mwalimu wako alikuwa na shida sana mimi nimesema nasikia na sio nilisoma! Mambo ya kudai ada wewe ndo tunahaji kuifata coz huelewi maneno
Sio kila unacho sikia ni sahihi mkuu. Ndio wapo watu wasiopata HIV wachache lakini sio kwasababu ya group la damu bali udhaifu fulani katika kinga mwili zao
 
Sio kila unacho sikia ni sahihi mkuu. Ndio wapo watu wasiopata HIV wachache lakini sio kwasababu ya group la damu bali udhaifu fulani katika kinga mwili zao
hapa sasa ndio umeongea kama mtu mzima na nusu coz umenijibu kulingana na nilivyouliza thank you. Lakin mambo na ada hapo ulitaka kuchafua kijiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…