Habari za mihangaiko wakuu. Mimi ni kijana mwezenu nawakaribisha sana katika duka langu lililopo maeneo ya magomeni morocco (morroco hotel) nashughulika na kuuza spea za pikipiki, oil zote, kujaza upepo na kuziba pancha gari aina zote. Ukifika utahudumiwa vizuri. Karibuni sana