S Silicon Valley JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 1,092 Reaction score 1,119 Sep 30, 2016 #1 Je, ni kweli mazoezi ya mwili yanapunguza hamu ya kufanya tendo la ndoa au kuongeza? Tafadhali wajuzi tufafanulieni.
Je, ni kweli mazoezi ya mwili yanapunguza hamu ya kufanya tendo la ndoa au kuongeza? Tafadhali wajuzi tufafanulieni.
zinyalulu JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 420 Reaction score 224 Sep 30, 2016 #2 Kwa vyovyote mwili ukichoka unahitaji kupumzishwa tu,hivyo kupelekea mtu kutowazia mambo hayo.
willy ze great JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 1,086 Reaction score 1,335 Sep 30, 2016 #3 Hayapunguzi nguvu zq kiume ila yanapoteza fikra za wewe kuwaza kufanyq mapenzi
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,270 Reaction score 29,939 Sep 30, 2016 #4 HAKUNA UKWERI WOWOTE Bt mtu anaefanya mazoez ana enyoi zaid kuliko yure asifanya mazoez Hii ni kutokana na mwil wake kuwa fit kiafya Nb usifanye mazoez hapo hapo ukaenda kugegedana Bahadhi ya misul inaweza kukaza ivyo kukosa furaha waiter mi niletee [emoji481] [emoji481] [emoji481]
HAKUNA UKWERI WOWOTE Bt mtu anaefanya mazoez ana enyoi zaid kuliko yure asifanya mazoez Hii ni kutokana na mwil wake kuwa fit kiafya Nb usifanye mazoez hapo hapo ukaenda kugegedana Bahadhi ya misul inaweza kukaza ivyo kukosa furaha waiter mi niletee [emoji481] [emoji481] [emoji481]
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Oct 2, 2016 #5 Kipindi cha mwanzo utakosa hamu kabisa maan mwili haujaa adopt hiyo new life style. Lakini ukiendelezaa utajikuta unakuwa active sana. Waaulize waliwahi kwenda depo la Tpdenga. Unaezaa kaa na mtoto mzuri yupo uchi kabisaa na hataa usidinde. Ila sassa ukiaanza zoea utakutaa unatamaan hata utoroke ukale mzigo.
Kipindi cha mwanzo utakosa hamu kabisa maan mwili haujaa adopt hiyo new life style. Lakini ukiendelezaa utajikuta unakuwa active sana. Waaulize waliwahi kwenda depo la Tpdenga. Unaezaa kaa na mtoto mzuri yupo uchi kabisaa na hataa usidinde. Ila sassa ukiaanza zoea utakutaa unatamaan hata utoroke ukale mzigo.