HumbleBoy98
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 388
- 397
Thanks mkuu!Easy!
Una watoto? Kama unao na ni wakubwa kiasi, unaweza ukafanya calf raises huku umewabeba mabegani.
Au kama una begi la mgongoni, unaweza kuliwekea vitu likawa zito kiasi halafu unapiga hizo calf raises.
Piga sets na repetition za kutosha mara kama mbili au tatu kwa wiki.
View attachment 1792306
Asante mkuu kwa mchango wako.Kakimbie sehemu yenye mchanga mwingi sana, kama upo karibu na beach nenda ufukweni kimbia kwenye michanga.
Kimbia kupandisha vilima.
Fanya zoezi la kujinyanyua kama unataka kusimamia vidole vile.
Mmh! Mkuu sijakuelewa, mguu unatakiwa usiwe na kigimbi? Na kwa Nini uwe kituko?Mguu inabidi usiwe na kigimbi.
Kupata kigimbi siyo kazi na kama mguu wako ni mwembamba utazidi kuwa kituko.
Hauta furahia huo muonekano mpya.
Ingia YouTube andika foot exercise zitakuja video za muongozo kuna mazoezi hadi ya kiganja cha mguu.
Mnapandisha sana milima?😀Huku kwetu mazingira tu mtu unapata kigimbi automatically, tunaita (store gimbi)
Hajui anachokisema huyo mguu unenepe bila kigimbi huo ni ubonge(mafuta) pia genetically ngumu sana mguu kunenepa ukiona mpaka mguu umenenepa basi Upper Body hutamaniki Fat as fak.Mmh! Mkuu sijakuelewa, mguu unatakiwa usiwe na kigimbi? Na kwa Nini uwe kituko?
And kuwa na mguu ulonenepa bila kigimbi unakuwa kama mguu wa mwanamke tu .(mguu wa bia)Hajui anachokisema huyo mguu unenepe bila kigimbi huo ni ubonge(mafuta) pia genetically ngumu sana mguu kunenepa ukiona mpaka mguu umenenepa basi Upper Body hutamaniki Fat as fak.