Na hapa kwetu kati ya wanaume kumi ,nane wana tabia za kujipendekeza kwa mtu .Hamna kitu kibaya kama kujipendekeza... Of course kwa unayejipendekeza kwake lazima akudharau hata kama unafaidika na kujipendekeza ... Na kikawaida kujipendekeza sana Kuna ambatana na Unafiki automatically..... Angalia mtu anyejipendekeza sana tabia zake..... Utabaini ka unafiki kalikoota mizizi Kako ndani yake..😕
Hakika hili lipo sanaNa hapa kwetu kati ya wanaume kumi ,nane wana tabia za kujipendekeza kwa mtu .
Ndiyo maana katika marafiki zako kumi mmoja ndiye rafiki wa dhati wengine wana masilahi na wewe ni hapo mkuuu ,boss ,tajiri mara mwamba hazikauki midomoni mwao kukusifia hata visivyosifika .
Mkuu hukumbuki yule dogo alikuzoea hadi akakuuliza kwanini waifu alikumwaga ? 😀😀Nipe mmoja kaka
Ila @PRONDO 🙌Mkuu hukumbuki yule dogo alikuzoea hadi akakuuliza kwanini waifu alikumwaga ? 😀😀
Namimi nilikuwa najua ni prondo baada ya muda mrefu nikagundua kumbe ni rrondo😆Ila @PRONDO 🙌
Dah ila nikijua alibadili maana ilikuwa rrondo zamani basi karudi zamani huyu jamaa wewe RRONDO unatunchanganya kaka .Namimi nilikuwa najua ni prondo baada ya muda mrefu nikagundua kumbe ni rrondo😆
Kweli KABISA.Usije ukaruhusu hata siku moja watu wakuzoee kupita kiasi.
Acha wakuone unalinga, unavimba na unajisikia pia, kwa sababu watu wakikuzoea sana mazoea huwa yanaleta dharau.
Jua kusoma nyakati
Ngoma ikivuma sana
mwisho wake hupasuka.
Nimekusoma zamani ikiwa kwa herufi ndogo sasa kaifanya herufi kubwa .Lol 😂 username yake inachanganya ukisoma kwa haraka na ninahisi wengi wanajua ni prondo😅
Zamani wote Tulikuwa tunahisi hivyo hiyo fiction haijaanza LeoLol 😂 username yake inachanganya ukisoma kwa haraka na ninahisi wengi wanajua ni prondo😅
Sana sanaNa hapa kwetu kati ya wanaume kumi ,nane wana tabia za kujipendekeza kwa mtu .
Ndiyo maana katika marafiki zako kumi mmoja ndiye rafiki wa dhati wengine wana masilahi na wewe ni hapo mkuuu ,boss ,tajiri mara mwamba hazikauki midomoni mwao kukusifia hata visivyosifika .
Kumbe? Mi nimeona ikiwa hivyo😅Nimekusoma zamani ikiwa kwa herufi ndogo sasa kaifanya herufi kubwa .
Kumbe ni kundi kubwa, hadi wewe gt?😅Zamani wote Tulikuwa tunahisi hivyo hiyo fiction haijaanza Leo