shelumwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 516
- 189
Hii imemtokea jamaa yangu wa karibu sana,ilikua jana usiku jamaa alimpigia simu rafiki yetu mwengine sasa kawaida kama mnavyojua watu mkizoeana kutukanana ni jambo la kawaida kama utani, katika kuongea na huyo rafiki yetu kwa muda na kucheka sana, kumbe jamaa yetu si akawa kafika kwao huku bado anaongea nae tu kwa simu.
Sasa utata ukaja hapa jamaa yetu mwengine kwa bahati mbaya au nzuri akampa simu mama yake ili amsalimie huyu rafiki yangu niliekuwa nae bila kumtaarifu na kwa kuwa hawa jamaa wote wawili wamezoeshana kutukanana, huyu jamaa yangu bila kujua kuwa simu kashika mama wa yule rafiki yetu . ghafla akaona jamaa aongei jamaa yangu akaamua kuvunja ukimya kwa kusema,'' wewe mseng* kum* nyoko mbona hauongei ''
Kumbe wakati huo simu ameweka masikioni mama yake wa jamaa si ndo akasikia sauti ya mama ikimwambia ''haujambo mwanangu' ' ,sasa kilichofuata jamaa alikata simu.
Yani tangu jana jamaa yangu hana amani wala raha kabisa maana yule mama wa jamaa yetu wanaheshimiana sana na anajuaga huyu jamaa yangu ni mtulivu sanasasa ajui afanyaje, maana anaogopa hata kwenda nyumbani kwa jamaa yetu tena.