Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Unaweza kuta wanasema kuwa maziwa yake ni dawa ya ebola na kinga pia...Mbwa mwenyewe mgonjwa
Unaweza kuta wanasema kuwa maziwa yake ni dawa ya ebola na kinga pia...
Nimehisi kichefu chefu ghafla
Nimehisi kichefu chefu ghafla
Mkuu unavyzozidi kuweka ubora ujue unazidi kunichefua.HARUFU;
Kwa nini? Mbona huyo mtoto wa mbwa hajisikii hivyo ka weye?? Titi ni tamu jamani ingawa la mbwa. Akitokea tu hapo mtoto wa mbwa, lazima ajilambe pua yake kwa furaha akikumbukia utamu aliopata.
Tena huyo mbwa anaonesha huyu jamaa kamzoesha kukamuliwa asubuhiii kwa ajili ya chai ya maziwa. Taam hiyooo we acha tu tena nzito
Mkuu unavyzozidi kuweka ubora ujue unazidi kunichefua.
Sasa umeshasema mtoto wa mbwa mkuu, hao damu moja. Kumbuka sisi binadamu hatuli mbwa kawahiyo maziwa yake huwezi kunywa mkuu lakini maziwa ya ng'ombe utakunywa sababu nyama ya ng'ombe kitoweo
Nimehisi kichefu chefu ghafla
HARUFU;
Usinichukie bureeee. Mbwa ni kitoweo. Tena hapo DRC chauzwa buchani ka nyama nyinginezo tu mbona?? Nilipotaka kuzimia ni pale wallikuwa wameweka na kichwa chake pale kuonesha kuwa usijiulize ni nyama gani. Nenda Lubumbashi uone mwenyewe
Sawa ....mimba changa ndivyo zilivyo usijali kama hujui kanunue kipima mkojo